Harmonize - Tena (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Stream/Download;

The Song Produced By B BOY BEATS

Subscribe for more official content

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 652 892 317, +255 658 135 762

#Harmonize #Tena #KondeMusic
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Thank you for listening to Tena 💌

I welcome you to listen to my brand new album "Visit Bongo" Here:

Harmonize
Автор

Huyu Mwamba anapendwa sana Kenya wapi likes zakeee🇰🇪🇰🇪

kakajtv
Автор

Mzee tena na tena utatumaliza kaka hatupumui

msimamomsimamo
Автор

Hongera Sana kondeboy unawakera Sana wadui zako nakuombea dua Kaka from 🇿🇲 naombeni ata like 5

masauletitika
Автор

Aki you brought bongo flavor back. Wengine ni ama piano wewe ndio king of bongo flavor. Tunakupenda saaana kutoka kenya. Waambie wanipe likes ata kama mbili jameni😢

ariedprince
Автор

TENA AMEPENDA 😅😅 THE KING OF BONGO FLAVA IS BACK, KAMA UNAMKUBALI KONDEBOY NUMBER ONE NIPE LIKE LET'S GO

DAMIABOY
Автор

Tunangoja hit song ingine konde ameamua leo🎉😎konde to the world si likes zangu zikuje

lenoxomondi-vpnq
Автор

Nagomba like nyingi kwasababu nimekua mtu wa kwanza kuiangalia video mwaka wetu mashabiki wa kondeboy ♥️♥️♥️

kagamesamuel
Автор

This is my favorite verse in this Song 🎹🎼Kwanza nimekuwa nime mature mapenzi nayajua nje ndani. Ya walimwengu si unayajua basi tuombe dua mbona litakuwa apangalo maanani🎼🎹🎤🙌🙌

edwinrobert
Автор

Nasemaje hapa ni bamba 2 bamba yaani tuna hakikisha mpaka kueleweke, kama una mkubali HARMONIZE gonga likes kwa 🐘🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

InnocentKombi
Автор

Huyo ndo konde ninaemjua mimi nani mwingine anaemkubali kondeboy kama mimi ❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥💯🦅🕊️....

Jaydannychawaboy.
Автор

Baba waachilia vyuma usiku usiku sema hatuezi lala...mpaka tuipitishe kazi ya mwanetu....WAPI LIKES ZA KONDE 254/255

nundamalickofficial
Автор

This man is really talented.... Yaani mziki kwake ni natural si kitu analazimisha... Big ❤ konde.... Keep the fire burning

kiilujohnson-jind
Автор

Mbona huu jama kaacha sisi hapa marekani tunashindwa hata ingia kazini, kila saa ngoma 😮😂😂😂😂, namimi nitakuwa mtanzania mukinipa hata likes 5, bana

DanielDePeterson
Автор

Mzee bado unatupia vyuma tena nasisi tupo tena kwajili yako 🚀🚀🚀🐘🐘🇧🇮🇧🇮🇧🇮

yassayassini
Автор

Huyu mtu anaimba kweli kweli weeeh hapa akuna mambo ya sumu wala enjoy hapa ni Tena na Tena tu 🔥🔥🔥🔥

cartoontwf
Автор

What are you waiting for? Let's put a crown on him he's the King of hearts. More love to him from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲

emmanuelmaango
Автор

Usilo lidjuwa nikama usiku wa Giza Big up Sana my Brother Konde Gang Music 💪🏾 🎉🎉🎉 Bakrhesa TENA🔥🔥

ivantuil
Автор

kama unakubali Konde boy ni mkali sana mara dufu kuliko Diamond platnumz gonga like au sema neno lolote ili twende sawa ewe dada na kaka.

bizimanabizimana
Автор

You make Swahili beautiful.Genius lyrics.Kama nilibarikiwa na pesaa ninge invest yote na wewe .You so original.keep it up bro

gideonmiriti