Harmonize - Hawaniwezi (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Harmonize - Hawaniwezi (Official Music Video)

Harmonize's "Visit Bongo" is a musical journey that fuses Bongo Flava, Afrobeat, and Amapiano, celebrating love, our collective growth and life's ups and downs. With two special collaborations featuring South African songstress Nkosazana Daughter and Rwanda’s Bruce Melodie, it's a reminder to be proud of ourselves and savor life's milestones. And to visit Tanzania and explore the wildlife and beautiful culture. Join us on this unique celebration!

Harmonize - Visit Bongo (Album Tracklist)

01. Harmonize - Personal trainer
02. Harmonize - Hallelujah
03. Harmonize - Best Woman (Mama Song)
04. Harmonize - Side Nigga
05. Harmonize - Sijalewa
06. Harmonize - Boss
07. Harmonize - Wangu mimi
08. Harmonize x Bruce Melodie - Zanzibar
09. Harmonize - Sijui
10. Harmonize - Tena
11. Harmonize - Hawaniwezi
12. Harmonize - Dear X
13. Harmonize x Nkosazana Daughter - Single again
14 Harmonize - Single again

The Song Produced By Wulan

Subscribe for more official content

Follow Harmonize

Listen to Harmonize

The official YouTube channel of Harmonize. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.

For Bookings & More
Call: +255 652 892 317, +255 658 135 762

Harmonize - Hawanuwe lu

Thanks god I have see the another day

And am too special ingawa sijaiona kesho

Mh I'm big African super star

From mtwara city boy go far

Pretty morning baby see them car

Nazina pakukaa an i got this far

And i was born rida

Yani kiufupi nazijua shida

Kusimangwa kutukanwa kwangu kawaida naona barida

Yes they call me boss

Kama utaki sikuforce

I love the way i love me

Come my big fan of meee

Mh nisamehe kama nakukera

Ila kitaa ndo kimenipa bendera

Narusha masela mpaka walo jela

Of course of course of course

Konde boy i'm sojour

Mi sina time yakungoja

They call me tanzania one namba moja

Kama ukibisha bisha kwa hoja eeeh

Hawaniwezi hawaniwee

Hawaniwezi hawaniwee

Hawaniwezi

Nimeshindikana hawaniwezii

Hawaniwezi hawaniwee

Hawaniwezi hawaniwee

Hawaniwezi

Nimenyongorota hawaniwezii

Thanks no place you can buy my life

Just i no I'm rich than anybody iiiiiih

Me am fia no body uuuuh

Am stronger

Boya akizingua namgonga

Mi nabadilika ka kinyonga

Huwezi amini ndo kinyago walicho chonga

Wanatia sumu kunijaribia

Mi nakula ndumu nafikiria

Kutimiza majukumu yafamilia kuihudumia

I'm universe connected

Yes no one expected

To your god an the most bigger one take and accepted

Taratibu husije ukaniiga mmh

Kama ligi hii laliga

So my life what you that nigger

Huwezi kula nnapokula twiga

I'm farway

Hawaniwezi hawaniwee

Hawaniwezi hawaniwee

Hawaniwezi

Nimeshindikana hawaniwezii

Hawaniwezi hawaniwee

Hawaniwezi hawaniwee

Hawaniwezi

Nimenyongorota hawaniwezii







































































#Harmonize #Hawaniwezi #VisitBongo #KondeMusic
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Thank you for listening to Hawaniwezi 💌

I welcome you to listen to my brand new album "Visit Bongo" Here:

Harmonize
Автор

BUDA WEWE NI MNOMA SANA🔥🔥 BADDEST IN AFRICA RIGHT NOW!!🐘🐘

BREEDERLW
Автор

MSANII MWENYE BIDIII. MWANDISHI HATARI WA NGOMA💯💯❤️🔥

iamkakadave
Автор

Kabisa hawakuwezi Kondeboy...long live Jeshi just know ur loved...Kondeboy for life

Kondegirl
Автор

Leo Mimi wakwanza kutoka Tanzania kama unamkubali harmonize nakama huna hamini harmonize ni king wa music wa Tanzania basi gonga like hapa HAWANIWEZI ON TOP 🎩🎩❤❤❤

Heiskmb
Автор

Kenyans let's all gather here and appreciate this banger 🔥 for the great song🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Didahofficial
Автор

Mwanetu hajawahi tuangusha.yani anatupa mawe juu ya mawe, chuma juu ya chuma.hongera sana jeshi, endelea kuwapa somo hao wanaodhani ridhiki ya mtu iko mikononi mwao.💪🏽💪🏽💪🏽🔥🔥🔥

bablacemessia
Автор

Nani bado anaskiza huu wimbo saa hii 🔥🔥🔥🔥

britonboykondegang
Автор

🎉🎉🎉🎉 Team konde gonga like twende sawa, , he never disappoints

deborahmollel
Автор

Harmonize is the best, he knows how to feed his fans with melodies and hits.
Sending love all the way from Zambia.

RaphaelCreations-zf
Автор

Hawaniwezi na bado Hawa ni Wezi 😂,
KondeBoy Number one Lyrics on point, zimekomaaa🔥🔥🔥

kennybizzoh
Автор

Tuliorudia zaidi ya mara 1 gonga like tujuane kwa hii hitsong🔥🔥🔥🔥🦅

nkindafabian
Автор

Kondeboy never disappoints, much love from zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲

richardchiwowa
Автор

Huyu jama tunamkubali sana huku Kenya ana talent na Sauti tamu sana Wa kwnaza likes please

thebinai
Автор

Hili Chupa bwana director Kenny🔥🔥🙌🙌🙌🎬🎬

managemwachaka
Автор

TANZANIA 🇹🇿 TUNAJIVUNIA KUWA NA MWANAMUZIKI MKUBWA KAMA WEWE HARMONIZE MWENYE KULETA CHANGAMOTO KWENYE MUZIKI WA TANZANIA 🇹🇿❤

maobundala
Автор

I think Our boy Konde is the only musician in Tz who can manage to talk a bit english and understandable😍actually am always in love with his hits

esthernjau
Автор

Hako kakiingereza kametoka vizuri sana indeed you are the only recording artists from from TZ who uses fluent english ile yenye tunapenda huku USA.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Danny
Автор

This song deserves 100M kama unaamina gonga like chaiiii 🔥

Leonard-pq
Автор

Harmonize never disappoints 👊💪, It's a big tune & for real hawamuezi kweli maana wote wameishiwa mistari wamebaki kupiga amapiano na mistari hawana...

suddizzosudyz