Balozi wa Tanzania nchini Uingereza afunguka kuhusu video ya MTZ anayedai mumewe amepanga kumuua

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mwenyezi mungu amfanyie wepesi inshallah, apate msaada, Asante balozi kufatilia hatari ya ndg yetu huko ughaibuni

Khadija-fb
Автор

Kazi mzuri SNS mungu hawabariki na kazi yenu hizidi kukua zaidi ya hapo

ShambaVillage
Автор

Big up SNS bila nyinyi watu wasingejua ktu

dailylife
Автор

Hongera sana Mhe. Balozi kwa jitihada za kuokoa maisha ya huyu mama, and a massive big-up to you SNS kwa kazi nzuri unayofanya. Nakukubali sana kaka.

proudpoint
Автор

Hongera sana Sns kwa kupaza sauti hadi msaada unapatikana, Mungu awabariki sana

faridamkesso
Автор

Sns inafichua vitu Vingi vya kusaidia watanzania big up sana hii ndio media yangu pendwa SNS FOREVER

LeodigaryPatrick
Автор

Hongera sana balozi. Hakika umewapa Watanzania moyo sana n.a. umewakilisha nchi yetu vizuri

nsiamasawe
Автор

BigUp SnS media you did a great job on this issue.

ip_header
Автор

Kaka barikiwa sana umekuwa msaada mkubwa! Nilipitia hii taarifa Jana tu Leo tayari ni utekelezaji! Ni ishara tosha umekuwa msaada! Binafsi imeniuma sana👏

israelmunuo
Автор

Asante balozi wa Tanzania. Kazi nzuri sana uliyoifanya. Barikiwa. 🇸🇪🇸🇪🇹🇿🇹🇿🙏

rithersospeterkati
Автор

Huo ndiyo uwajibikaji tunaotaka, safi sana balozi.

malugukushaha
Автор

❤❤❤❤aondolewa Haraka sana ASIWAACHE WATOTO KABIISA

demicratia
Автор

Sky uko smart Sana Kwene taarifa. Iko Siku nitakuja kukupa hongera

anordelias
Автор

SNS mnafanya kazi nzuri sana. Kongore kwenu, maana bila ninyi huyo dada huenda asingepata msaada stahiki. Tunakupenda sana FREDRICK BUNDARA ❤❤❤❤

RamadanPaul
Автор

Mungu akubariki sana kwa kumsaidia mtz mwenzetu na mungu akubariki sana

edinafaustinez
Автор

Pole sana dada tunakuombea kwa mwenyezi Mungu akujalie

AdnaneisufomomadeMomade
Автор

Hongera sana balozi. Anaonyesha tu anateswa mtu anaisi ulaya kweli. Pole Dada

BagsSales
Автор

Hongera sana sns. Safi sana balozi wetu 👊

aminatanzanya
Автор

Hongera sana SNS Allah akubariki na akusaidie katika Mambo yako we mtu maana kabisa

hawa
Автор

Kazi nzuri SnS hatimae taarifa imefika

USWAZITVONLINE