DKT. NCHEMBA AVUTIA WAWEKEZAJI NCHINI UINGEREZA

preview_player
Показать описание
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amefanya Mkutano na jumuiya ya wafanyabiashara wa Uingereza wenye lengo la kuwashawishi kuwekeza nchini Tanzania, Mkutano huo umefanyika jijini London, Uingereza na ulihudhuriwa pia na Katibu Mkuu-Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Juma Malik Akil na Balozi wa Tanzania-Uingereza, Dkt. Asha-Rose Migiro.
Рекомендации по теме