LIVE: Alichokisema Waziri Mahiga Mapokezi ya Waziri wa Uingereza Aliyetembelea Tanzania

preview_player
Показать описание
Waziri wa Nchi anayeshughulikia Masuala ya Afrika kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza, Mhe. Stewart Rory, amewasili nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ambapo amepokelewa na mwenyeji wake, Waziri wa Mambo ya Nje, Kikanda na Afrika Mashariki, Balozi Augustino mahiga.

Katika mapokezi hayo, Balozi mahiga ameelezea kuhusu uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na serikali ya Uingereza na kueleza kwamba nchi hiyo, ndiyo inayoongoza kwa kuisaidia Tanzania katika masuala ya maendeleo.

Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Sis tungependa tuwasikiy wenyew wakiongey kuliko kutuchujiy maneno au kutiy chumvi ...

Ndo maana tunaka English English English English English ...

Kiswahili tayari tunakijuwa ...

tonynuru
Автор

Kwan huyu ndo Yule waziri wa uingereza aliyezaliwa Mtwara ...
🤒🤒🤒

tonynuru
Автор

Yeah Kama hivo muheshimiwa Mahige ... English tunaipenda hiiyo lugha tuijuw na sis watanzania ... kama majirani zetu wanavoitawala hiyo ngeli ... !!!

tonynuru
Автор

si unajua ccm ya jpm, inataka matokeo

daudimaguha