KIFO CHA QUEEN ELIZABETH, RAIS SAMIA AFIKA UBALOZI WA UINGEREZA KUTOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI..

preview_player
Показать описание
KIFO CHA QUEEN ELIZABETH, RAIS SAMIA AFIKA UBALOZI WA UINGEREZA KUTOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI..

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II (96) wa Uingereza aliyefariki tarehe 08 Septemba, 2022 nchini Uskochi. Mhe. Rais Samia alisaini Kitabu hicho katika Makazi ya Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Oysterbay Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Septemba, 2022.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме