NYUMBA NA SHIMO LA MENO YA TEMBO, WANANCHI WAUFYATA WAOGOPA MTANDAO

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu amemaliza uumbaji, kazi kwetu watawala wa viumbe hivyo.

sebastianngimba
Автор

Kuna mawili mwenye nyumba anaweza kujua au kutojua, hasa kama yeye haishi humo na kama huyo jamaa amepangishwa nyumba nzima, mfano yeye anawezakuwa anatumiwa kodi au anawekewa kwenye akaunti, na vitendo hivyo vya ufukiaji huenda vilikuwa vinafanyika kwa siri sana tena usiku, watu wa aina hiyo wana pesa nyingi haramu, hata kodi aliyokuwa analipa yaweza kuwa kubwa ukilinganisha na nyumba nyingine huko, ili kuweza kumhadaa mwenye nyumba kutoenda kudai kodi hapo kama alikuwa haishi hapo yapo mengi ya kuchunguzwa hapo ili kubaini mbivu na mbichi.

robertmaginga
Автор

Natamani akamatwe asukumwe ndani jangilimkubwa uyooo

anethchua
Автор

Magufuli kiboko watu wanafukia mali chini wanatimka mungu mlinde magufuli

anethchua
Автор

Mh magufuli akisema nchi hii imepigwa vya kutosha hamuelewi lkn IPO siku tutaelewa tu

mwigakatumpula
Автор

Za mwizi ni 40 hakuna lenye mwanzo linalokosa mwisho

happymsaki
Автор

MUNGU MBARIKI RAISI HUYU JPM ADUMU MILELE

zefamange
Автор

MUNGU MBARIKI RAISI HUYU JPM ADUMU MILELE

zefamange