SIRI za AJABU usizozijua kuhusu PAJI lako la USO (KOMWE)

preview_player
Показать описание
#Tabiazawatu #Pajilauso #Ipmmedia
Uwezo wa kusoma tabia za watu kupitia paji la uso kitaalam unaitwa physiognomia, ni mbinu ya kuvutia sana ambayo inakuwezesha kugundua tabia ya mtu, jinsi anavyoenenda maishani na hata hali ya afya yake.
Tazama video hii mpaka mwisho uweze kujua jambo hili linafanyika vipi.

Keywords :
Tabia za watu
Siri za paji la uso
Watu wenye komwe
Maajabu ya watu wenye komwe
Ipm media
Elimika online
Video za tabia mbaya
Picha za tabia mbaya
Tabia
Saikolojia
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Dada umenikosha sana, ni kweli watu wenye komwe huwa tuna akili sana na uwezo mkubwa wa kufikiri, huu utafiti ni wa kweli kabisa

msagati
Автор

Uko vizuri, mm ni no moja. Wengi huniambia Nina ajili sana. Pia ni mpambanaji ktk kutafuta riziki. Namshukuru mungu Kwa kuniwezesha

ylosuke
Автор

Yaani hapo uko sahihi kabisa my sister namba mbili kweli nipo hv

kqxgrhr
Автор

Is true ninapaji lad uso komwe hunidanganyi

nccbkqe
Автор

Mm ni Pana, upande wakihisi jambo Niko juu isee

norahabuyeka
Автор

Ni kweli mimi ni M ya mwisho, it's very true

EzekielKandonga
Автор

Mimi ni pana kabisaa afu mimi naweza kukutizama nikajuwa what is going on you iyo ni kweli kabisa ila naweza kukutambuwa nafanya kukupuuza ila nikikujuwa wewe nihatari kwangu nakugeuzia mambo haraka alafu najikutaga mtu anaweza kuniita mchawi nilikuwa sijuwi kabisa Alkhamndulillah kwakutujuza.

alimatambwe
Автор

Ubarikiwe nikweli napenda kukaa mimi mwenyewe

zirimwabagaboshamamba
Автор

Wenye makomwe msifurai mnapewa moyotu mahana watu wengi uwa wana hukia sana makomwe

spvbdxi
Автор

Weeeeweeee tukipenda tumependa very true thank u

verram
Автор

Mafunzo mazuri uko sawa Dada much love from Kenya

alicewanyanya
Автор

Nimo katika paji pana, yes niko bright sanaaa Alhamdulillah

fatuma
Автор

1 ukweli mtupu lady D inamuhusu
😂😂 nakomwe lake 💯🐲🌹

tiffanyakramJr
Автор

Ni kwel kbxa mm niko apo kwenye paja ndgo amblo mstar umebed kbxa kam ball

Zawadikarisa-sxir
Автор

Ur right my dear najiona kbsaa kadada komwe🤣🤣🤣enx god

ayshabirali
Автор

Hiyo namba sita dada hujakosea...sema kununiwa bila sababu kisa tu watu wanakukubali..❤️❤️💯💯💯💢

minaaminaa
Автор

Asante Sana dada Yan mm hujanikosea kabisa Niko na bahati Sana. Yani naweza enda mahali pa biashara ambaki kulikuwa hakuna wateja, Ila nikiingia Tu watu wanajazana Tele.

dayana
Автор

Huyo ni mimi mwenye komwe yaani hujakosea nina machale mpaka huwa najishangaa na ninapenda kufanya kazi kwa bidii

ziyadanyandwi