filmov
tv
Afikishwa Mahakamani Kwa Kunaswa na Vipande 8 vya Meno ya Tembo!
Показать описание
Walivyonaswa Watu 8 Wakiwa na Vipande vya Meno ya Tembo!
MTUHUMIWA, Husein Ally (40) mkazi wa Mabibo Sahara amefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukutwa na vipande 8 vya meno ya Tembo vyenye Thamani ya Tsh 34 Milioni.
Akimsomea hati ya mashtaka Wakili wa serikali, Candid Nasua amesema mtuhumiwa anakabiliwa na kosa moja la kukutwa na nyara za serikali na mtuhumiwa hakuruhusiwa kujibu chochote na kesi hiyo imeahirishwa hadi Aprili 4, mwaka huu.