SIRI NZITO! MARCO JOSEPH, ZABRON SINGERS ALIROGWA - Apostle Yohana Israel

preview_player
Показать описание
Watch, like, Share. For mentions and content collaborations, text us at +254733290656
_____________________________________________________________

Marco Zabron news, biography, cause of death, all songs, predicted death, Marco Joseph Zabron singers member Marco Joseph is dead, net worth, chanzo cha kifo cha Zabron singer Marco Joseph
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Talk to Appostle Yohana +254 722 744672
Got Story? Talk to us 0706 825 456

PashwaTV
Автор

There is truth in what this man of God is Tuzidi kuomba Sana na kufunga..

ireneshalwa
Автор

Huu ni ukweli uezi fanya jambo bila kujijengea madhabau na mungu, waumini SILAHA ni MAOMBI na SADAKA za ULINZI ni mhimu sana kwa maisha ya mtu🙌🙌

janecharo
Автор

Tuombe jamani tutoe zakana sadaka lakini tukumbuke kwamba marco aliimba wimbo wamungu ni daktari wa moyo wake ila alivyoambiwa kwamba anaugojwa wa myo angeacha kufanyiwa upareshen akajikabidhi kwa mungu kwa maombi zaidi na mapastar wakamwombea kwa sababu alisema yesu ndiyo dakari wa moyo wake angeomba tu sana akaacha kufanyiwa uparesheni angepona

JaneMakemo
Автор

Ni kweli, kuna watu utumia uchawi kufanikiwa na kutumia nyota za wengine lkn Mungu ninani mwisho watashidwa tu, uwezi shida shetani nyinyi

MaingiMaingi-fgiy
Автор

Ubarikiwe sana Pastor kwa ujumbe mzito.

esthershayo
Автор

Asikofu mungu akubariki sana somo linatugusa maana tunashambuliwa hatuna ulizi wa kiloho

AminaShomariMwakambaya
Автор

😢wangejua hangefanyiwa matibabu hapo tz, , kwa yote mungu ndiye anajua, , inauma sana wacha Marco apumzike kwa amani😢

BayanaOmari
Автор

Mungu atusaidie maana hospitali nyingi madaktari na manesi wanatumiwa sana katika ulimwengu wa giza, unatengenezewa ugonjwa na wanakuelekeza hospital yao naumia sana juu ya marco moyo wangu unashindwa kuamini😭😭 kama Kamwita kwa wakati huu ila sina budi kumwachia Mungu hili

jovinathabaraka
Автор

Kweli kabsa Pastor bila maombi, do silaha pamoja na fungu la kumi inakulida wachawi watakutengea mitengo lakn Haitafaulu juu yako, toa fungu lakumi Mungu atakutetea sana, sana

PatriciaSidi-cw
Автор

Hata Munish Faustine alisema japo kwa mafumbo💔💔💔

annejayden
Автор

Poleni Sana Zabron singers Kwa kumpoteza mmoja wenu mpendwa.Huzuni kubwa kwetu wote

geofreymunene
Автор

Man of God you are speaking the truth God bless you

JacklineMuthoni-kw
Автор

Ni kweli walimkata watumie nyota yake mungu ni samehe na roho ya mtumishi wako unpublished kwa amani

MaryCharles-oj
Автор

Inatakiwa watu wavunje madhabahu ya ukoo Na kujenga ya Mungu si waimbajitu👏

annewangui
Автор

Umesema kweli kabisa baba tatizo hasa neno la Mungu kwa waimbaji ni kidogo sana na fungu la kumi hawatowi kama inavyostaili

annamakandawa
Автор

Really God is giving you revelation 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 concerning what's happening in the world.

TabithaMiddle
Автор

Merci monsieur pasteur pour la bonne parole vs ns parle, exactement il faut se séduire tout simplement a Dieu

Busime-xs
Автор

Ayub alirogwa na nani nayeye na Mungu alimtolea ushuhuda WA utakatifu wake.No man is so powerful to know the secret o God.

maryngara
Автор

Kwa kweli mtumishi hebu angalia dr.ipyana anavoandamwa na shetani

IsackIsaya-bihj