filmov
tv
AIC TABATA CHOIR FT AIC Athiriver Choir -ADONAI (Umetutendea Mengi Bwana)

Показать описание
Huu ni moja ya wimbo wa shukurani ambao tumeishirikisha kwaya kutoka nchini Kenya wimbo huu unatumika katika maeneo yote ya kumshukuru Mungu iwe ni harusi,kuoa au kuolewa,iwe ni birthday party(sikukuu ya kuzaliwa) iwe kufaulu masomo pia Mungu akikuokoa na magonjwa,iwe kukutoa katika mikono ya watesi wako lakini pia kupata kazi au kupandishwa cheo,Furaha pia zinaendana na shukurani.
#umetutendeamengibwana #music #adonai
Tumetumia jina la Adonai kwa kuwa Mungu kwetu ni mfalme wa wafalme (KING OF THE KING) ili kuonesha uwezo mkubwa alionao Mungu.
Adonai ni wingi wa neno la Kiebrania Adon, ambalo linamaanisha "Bwana" Jina la cheo lilitumiwa kwanza kama jina la Mungu kabla halijatumiwa kama jina la Mungu. Adonai ya wingi na herufi kubwa inatumika kwa sababu, kulingana na imani, Mungu ndiye Bwana wa wanadamu wote na hivyo ndiye "Bwana wa mabwana wote.
wimbo huu pia umeimbwa katika Lugha za Kiswahili,Kingereza,Kisukuma na Kikamba umetutendea Mengi Bwana si kama tunavyokutendea Wewe umetulipa kwa wema hata kama hatukustahili. Tunaamini kila mtu ana mambo mengi ya kumshukuru Mungu na tukisema tuanze kutaja au kuhesabu hatutamaliza kabisa Tunaamini wimbo huu utakuwa zaidi ya shukurani na zaidi ya maombi ( not only thanksgiving but also Prayer)
AIC TABATA CHOIR tunayo mengi ya kumshukuru Mungu maana alipotutoa ni mbali sana
Wimbo huu ukawe ni Shukrani kwako!
Audio Music by: / quilly1
Song Leader Jacob Maina/ marywisebwire1 / rosemutiso / nelson_van_e
connect us; instagram : / aic_tabata_choir
TikTok : / aictabatachoir
Youtube : / @aictabatachoir
Like Subscribe&share our videos!!!!.....
CONTACT VIA TEL 255765930030/0735068599
#umetutendeamengibwana #adonai #music

Комментарии