USIWACHUKULIE POA WAMAMA WA KITANZANIA WAKIWA CHINA

preview_player
Показать описание
Ayo TV ikiwa China itatuonesha maisha ya wenzetu Wachina wanavyoishi kwenye nchi yao lakini haiwezi kusahau kutuonesha maisha ya Watanzania wenzetu na Kazi zao ambazo wamekuwa wakizifanya wanapokuwa China na hapa ni ushuda wa Watanzania kwa ukarimu unaoendelea kutolewa na ndugu zetu @silent_ocean_ltd Watanzania waliondoa mzigo wa kusafirisha mizigo kutoka China na Dubai kuja Afrika.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

My love to you✌ Ayo nime wapenda bure! Ahsante kwa taarifa nzuri sana! Tunaenda China sasaivi. Na silent ocean ndio number ☝️ kwangu. From Rwanda!

theeyechannel
Автор

Rama yuko poa sana. Very helpful guy. Ingenious investment by Silent Ocean

marwawindilameck
Автор

Dullaaa dullaaa dullaaa wanimaliza ndugu yangu yaaani ayo hapa hajafeli kabisa

sharifabdul
Автор

Naona watangazaji wa Ayo mnakula shavu tu...

ramadhanisalum
Автор

I need to communicate with silent ocean

JacksonMabuya
Автор

ningependa niende China nani ako na connections Millard

juniorkering
Автор

Dullah unarudi lini TZ tumeshakumisi mtangazaji wetu .sema nini tuko pamoja

tausilifestyle
Автор

Jaman naona kama mwakini ivi takua uko china

damasbundala
Автор

Nadhani corona Sasa huko hakuna sijaona mtu aliye vaa barakoa

jafetzani
Автор

Je Silent inafika burundi kwa anaejua jibu tafathali.

mugishanadia
Автор

Nimtu mwenye sifazipi kwenda China kibiashara

gabrieldenicc