Wanafunzi wanaosoma CHINA kutoka TANZANIA waomba kurudishwa, Kutokana na hatari ya virusi vya corona

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Jaman nduguzetu tunawapenda😘sana lakin bakin kwanza hukohuko mana hii nchi yenu na umaskin huu ugonjwa huo ukija huku tutapukutika kama Chinahuko wameshidwa kupata dawa tz tutakufa kama palale tunawapenda ila vumilien kwanza hilo janga liishe mtasababisha majanga huku 🙏🙏👐👐tutawaombea tuu

evelinaluvata
Автор

😢😢😢poleni sana ndugu zetu yaani nimejiskia huruma sana .tatizo uko wuhan ndo kumeshafungwa no kuingia no kutoka hata harakati zimepungua chakula inakua shida kwao...yaani kubakia pahala na ukakosa hata mahitaji ya lazima ndio mtihani na ndio maana wanaomba kurudi . ALLAH awasaidie.

shamsahaji
Автор

Mungu wetu wa mbinguni awaepushe na gonjwa ilo bayaaa

angelngoye
Автор

Poleni sana na mtihani huo.
Mwenyezi Mungu awape uvumilivu.

Mamatonny
Автор

Kwa kweli mungu awalinde mpaka pale itakapo patikana suruhisho la Huu ugonjwa, hili ni janga la Dunia mungu atunusuru

briansancedo
Автор

Wachina wanaona aibu kweli na hii corona, walitamani ingeanzia afrika manake eti wanazibaga vipua mbonyeo vyao ili wasiambukizwe magonjwa adi ktk ndege, sasa safari hii watafunika pua adi ziwe tambarare😁😁

eneolatukio
Автор

Allah awalinde tunawapenda sana 😭 lakin kurud kwenu kw sasa mtihan lakin tunawahitaji sana kubwa tutawaombea dua🙏😍

rihammoosa
Автор

Allah wafanyie Wakingine na gonjwa hilo ndugu zetu tunawapenda sana lakin Bakin tu huko huko mana mmoja wapo kama anao akiambukiza milion ya Tz jaman kama munavyo jua Tz yetu kila kitu pesa hakuna hospital ya serikal wala nini sasa mapaka huduma zitufikia sisi kajamba nane kwakweli ni mtihani

halimamsafiri
Автор

Kifo kipo kila mahali kuweni na subra wekeni matumaini kwa mungu tu

rahillhamidu
Автор

nawaonea ad uruma jaman adi naic kulia lakin ndoivo cwez kuwasaidia zaid ya maombi ila mkae tu uko uko maana mkija uku tutakufa wengi sana

dorislema
Автор

So sad😭😭 but bakini tu huko maana mtatuambukiza😭😭😭

mabyserolouchcraig
Автор

Poleni sana kw mtihani huu wekeni subra' pia flite zimefungwa hawaruhusu kusafiri..

zahraalbaloochi
Автор

Yaani mungu anisamehe tu kuna EX wangu alinibwanga kisa kaenda china kusoma bora afe tu na corona

isunga
Автор

Vumilieni kubwa zaidi maombi tutawaombea sana

roseamos
Автор

Jamani siwatavileta na huku utaskia tz nako Kuna hivo virus

veeJesus
Автор

Daaa warudi lakini kwenye kijiji ambacho akina mtu, kijiji Chao wenyewe kitengenezwe, baadae kiwe ni kijiji cha wagonjwa na madoctor kugundua dawa. Alafu kama wazima basi mmoja mmoja aingie mjini. Tusiwaache... Sisi tunatakiwa tujui dawa, Mungu katubariki na nature nzuri kuna mti vlani tu, utakua dawa sema atujajua bado

pindabutter
Автор

Kuwalindaje??? Wanatakiwa watume ndege yao wakawachukue.

samniza
Автор

Jamani wanafunzi na sisi saa ingine Basi tu China ni nchi yenye population kubwa zaid dunia karib robo ya idadi ya watu dunian inabebwa na China sasa na nyie mnaenda kusoma si mngekuja tu sua apa unasoma kwa raha na maembe Kama yote an😂 Ila mungu atawalinda

veeJesus
Автор

Watatuambukiza jamani mwenyezi mungu atunusuru🙏

sadadololi
Автор

Wabakie kwanza jaman wasije?wakayaleta huku Tanzania tutamalizika buree matibabu finyu

fatmaali