Wamarekani hawa wataweza kutamka 'Tafadhali naomba maji ya kunywa?' Utacheka sana

preview_player
Показать описание
#SwahiliAmericanChallenge
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Yakunywa wanashindwa tu kusema nywa yani kwao ni kunya yenyewe🤣🤣🤣🤣matuharibia kiswahili jamani nimecheka hadi basi 😅😅😅😅much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪

rozina
Автор

Nilichogundua sisi ndo tunajutahidi kutumia lugha Yao wao Wala hawana mda

shafiamustafa
Автор

Hapo nimegunduaa kumbe kunya ni rahisi kuliko kunywa

magidachimija
Автор

Anadanganya wazungu. Nzuri sana ni very good. Wewe Anasema ni I'm fine.

ebakeichinge
Автор

Safi sana kaka wewe unatangaza vnzr sana inatakiwa wakufikilie ubaloz jaman

stellah
Автор

Safi Sana kaka, pia ungekuwa unawapa kwenye maadishi wasome ingewasaidia sana🔥🔥🔥

necbottz
Автор

The guy in blue t-shirt Omg i cant stop laughing! i really love the way they are trying very hard to understand out language ❤️🇹🇿

EmanuellVictoria
Автор

Love from burundi napenda idea hiyo by the way

junezihashran
Автор

Mary yakunya USA girl funny Swahili mmmm from USA texas

koletajeanne
Автор

🤣🤣🤣which means we have sharp brain 👍💯

mamawatoto
Автор

🤣🤣🤣et tafadhali naomba Mali ya kunyia waa🙉

mamawatoto
Автор

Halo umepambana sn, endelea kupiga mwingi mpaka wajue utakuwa umetoka kimaisha

NgomaMsonde-tuvh
Автор

Hapo kwenye kunywa & maji ndo shida

wilbrodwemaonlinetv
Автор

Nzr san kuwafunza kiswahili .. Lakini kwanza na ww jifunze L. NA R.. bilaa ya hivyo utakua unawafundisha maneno mabovu kwenye .. L na R.

fatmabhai