Alikiba - Maumivu Per Day (Unofficial Release - Music Video)

preview_player
Показать описание
Thank You for the birthday wishes... I am completely blessed, favored and loved and I am eternally grateful. I love you all and will always work hard to make you all proud of me. I would like to thank God for another tremendous year and of his love and protection.

Maumivu Per Day is an unofficial release of one of the most loved previous songs. I decided to unofficially release it today to celebrate my special day with my fans. I hope you enjoy it.

Listen to Alikiba on Digital Streaming:

Connect with Alikiba on Social Media:

+For More Information Booking Alikiba:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

2024 Ooooyooooh! maumivu per day. eti eee gonga like tukisonga

gabrielnyambu
Автор

Huu wimbo ulivyo mtamu haunishi hamu nani. Nani bado ana ukubali wimbo huu.gonga likes kama

amirsab
Автор

this song u liimba na visababu, , but king kiba wewe ni msiri kivyako na unajua kujipanga na mambo yako, long life king kiba

ruthamimo
Автор

Siku ukija kutazama tena maumivu per day achia like yako

ahmadothuman
Автор

Wallah nimefurahi sana kukutana na hii amaizing surprise, heshima kwako mzee

shabanclement
Автор

Maumivu per day hii imekaa vzr sana, "NINAVYOPATA TABU YA DUNIA NA MWILI WANGU UMEKWISHA PIA, YOTE MALIPO YA KUPENDA, ANAEPENDA WISHOWE ATATENDWA"
THIS IS ALI KIBA

salimuallyjumamohamed
Автор

Dunia amekubali Alikiba ako juu yani ngoma zake ziko smart 2 Sana.

diananyaga
Автор

Who feel same way as me this kind of music they been motivate me to want to go to Tanzania 🇹🇿 since in my childhood love from Uganda 🇺🇬 in opinion after Jose chameleon Ali kiba iz a legend of East African music

daudifaustin
Автор

Nilikula nahitaji mane no Kama haya.... Kiba you are king.. Always has messages and your voice is so soothing yani... ❤❤ pita na like button Kama wimbo unakugusa moyo

nellyesendi
Автор

Yaan hii ngoma jaman kama ndio imeachiwa leo, kama na wew umeiangalia hii ngoma 2020 nipe like

karemboally
Автор

kiboko yaooo king kibaa ngoma kari video simple na mandhari iko poa sana if you like it please PRAY for him

barnabasstanslaus
Автор

Alikiba always standout musician for over 22 years,
We love you kiba
#keepgoing

kakaideson
Автор

Kesho narudisha kadi wcb nahamia team kiba 4 maumiv per day wcb

japharymzulu
Автор

nmeingia YouTube nikakuta nyimbo mbili zmepangana ya kiba na mond ya kiba ya pili ya mond ya kwanza chaajab nmejikuta nmeaanza kwa kuview nyimbo ya kiba hata cjui kwa nn😍😍😍😘 love u king

syliviabaruti
Автор

Naipenda hii ngoma hakika ni nzuri team king 👑 kiba 🔥💥💥🔥💫

kanalijackson
Автор

Wangapi wanafatilia Maumivu per day, Mbio, Mshumaa, Dodo et.c etc

godwinegacharo
Автор

nkaumia sababu bado nakuhitaj, yale
maumiv
💖💖💖💖💖💖💞💞💞💞

shayrrakalama
Автор

Mm sielewi kiswahili lakini kiba nakukubali nyie waswahili nielezeni asema nn na kama wamkubali huyu kingi usipite bila kilike hapa💪💪💪👑

mosesouta
Автор

Nice king kiba im so happy to u my friend and God bless u thank u bro

kihushaassumani
Автор

maumivu per day....feelin this s'heat this 2019 kama wamkubali kaka huyu like tukisonga tuzidi kuona upendo amin

TheAceTv