Alikiba - Mbio (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Rockstar Africa introduces the Africa King introduces MBIO, a love ballad he wrote about 10 years ago when he first visited Oman, fast forward to 2019, Alikiba returned to Oman for a Grand Concert at The Intercontinental Hotel and got inspired to finalise the song and shoot the Music Video at Jebel Sifah, one of several great destinations in Muscat.

Mbio is a "love gone wrong" ballad that explains the feelings of a man who is still in love with his woman, who has fallen out of love with him. What to do? sometimes it's better to just walk away.. MBIO!!

Listen to Alikiba on Digital Streaming:

Follow Alikiba on Social Media:

+For More Information Booking Alikiba:

©2019 Kings Music Records.All rights reserved.

#Alikiba #Mbio #Kingkiba
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

TULIO RUDI KUITAZAMA NGOMA YA KING 2024 GONGA LIKE TUKISONGA🔥👍

TswagZ
Автор

Alikiba ndiyo msanii pekee Tz anaye jua mziki Gonga like kama zote hapa.🔥🔥🌟

godwin-daudmusika
Автор

Moto juu ya moto jaman japo nimechelewa naomba like zangu

giziberthjakobo
Автор

mzigo umeandikwa miaka Kumi ilopita lakin bado hatari.
kama wewe ni fan wa good music gonga like bas..

duniayetu
Автор

Kingkiba siyakuelewa vizuri we star gan mbona nyimbo zako zote Tam pia nikali jamani rockstar

josekabati
Автор

Tuliokuja kuangalia mwaka 2020 tufahamiane

MalegesiMakunja
Автор

Alikiba wetu.. Kenya loves you so much 🇰🇪 🇰🇪

Your music always on top kwa playlist yangu

Nipeeni likes wadau.. Alikiba fans!!

joekenya
Автор

King!nishida#hatari fire#utabaki kileleni utabaki mawinguni its nice song

fetymwamba
Автор

Huyu ndio fundi wa bongofleva apewe mauwa yake 💐💐💐

modohd
Автор

Wewe kama unamkubali 👑 kiba like apo chini twend sawa yebaba

youngkingbaddmankiller
Автор

Rock star, King of music Tanzania nzima hakuna kama King Kiba kama vp tupia likes zenu wadau twende sawa.

johngodlovenderingo.
Автор

The only musician u listen to and never get tired or bored, , respect Alikiba

jameskasekele
Автор

Nmerudia zaidi ya mara 15 ngoma kali wajina mziki mzuri bro respect da legend

allyhassan
Автор

King atabaki kuwa Ali kiba good music Rockstar for live#+254

Kijosh
Автор

Nyimbo kali Sijakosea kuwa team kiba wallah!! 😘😘😘

hamidahamadi
Автор

Xaxa hapa kwenye number one ndio sehemu yetu na huwa wanjua tikikaa hapa kazi inakuwepo let us keep in watching #mbio ndio habar ya town ukibisha kunya jiwe then limeze tena

kanejafari
Автор

Leo tarehe 16.12.2020 natizama huu wimbo, Umebeba history flani juu ya mahusiano yangu, Ambao bado wako still wanasindikiza machungu yangu kwa kuitazama #Mbio like hapa.

MalegesiMakunja
Автор

mamaaa sisi ndio mabilionea wa malove kama na ww bilionea wa malove like twende sawa

mutevas
Автор

Kama mapenzi yako kwa KIBA yanaenda mbio gonga like

fadhilikangusi
Автор

Kama unatamani km Mimi hii ngoma iwe 1 Trending week nzima gonja like tuendelee kuiinua juu mawinguni

bonniventuresylivester