Alikiba - Mshumaa (Official Music Video)

preview_player
Показать описание
Music video by Alikiba Performing Mshumaa (Official Video). ©2019 exclusively licensed from Kings Music Records.

Get it now in All Digital Platforms.


Connect with Alikiba on Social Media:

+For More Information Booking Alikiba:

#Alikiba #Mshumaa
©2019 Kings Music Records.All Rights Reserved.
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hata ngoma sina
Presha sina
Ugonjwa sina
Jina lako ninalo
Mistari mitamu unaweza kula nayo wali wallah
Team kiba usipite bila kulike please let's support our brother king himself 😍😍

prettyboyadventure
Автор

hii ndio ngoma sasa ina ujumbe ulokomaa
kenya nipewe like

hermankamariki
Автор

Ebwana eeeh!! Bonge 1la ngoma anaye mkubali KING KIBA astuke na like zake kipande iki👌👌

athumanijuma
Автор

Leo tarehe 08_07_2024 nasikiriza ebu nipeni like zenu😂😂

AllyNdola
Автор

Tunaotazama hii ngoma mara nyingi tujuane kwa like

whizzem
Автор

Kiba nimependa hii, Aya team kiba tupige support kwa king, likes apa👇👇

pureanimationtv
Автор

Am naturally in Love with Ali😍
His voice calms me down

ShamieVlogUg
Автор

From Kenya the biggest fan wa King Kiba hawezi pata likes jamani😍😍😍😍

anthonykamau
Автор

King ni king hakuna baba lao labda mama lao this is my best song 2019.team kiba oyee!

ramadhanyiunkim
Автор

I just like the simplicity of Alkiba, hana maringo

MimosaStores
Автор

much love from kenya 💖💖alikiba we dey love supporting you man 💪💪💪💪

munenzbreezy
Автор

Ngoma nimeicheki a million times ila upande wa views haziligani kabisa...na kama comments zinakutia moyo basi achia like ya#kingkiba apo🔥🔥

justusngwambu
Автор

Km umeuangalia huu wimbo zaidi ya mara mbili twende kazi⏯⏏⏭

iddiking
Автор

I had to visit KING KIBA from KENYA coz of this great music

johnmwasame
Автор

Mtusapoti basi kwa like wana Team kiba toka Congo 243

Thomaslenine
Автор

King Kiba

Huu wimbo unaweza ombea Msamaha mahakani na ukasemehewa

emmanuelnkinga
Автор

Alie guswa na wimbo mpaka anaishiwa maneno tujuane kwa like

dianarosemassawe
Автор

Nyimbo zako ata naeza skiza na mzazi, alikiba wewe ni true kabisa....much 💘 fro m 🇰🇪

rosenjogu
Автор

Nice song, hapo nakumiss nimelia sana adi nime miss marehemu mtoto wangu, nipeni like kama kumi tu 👍

faithkioko
Автор

Tunao mkubari kiba mambo ni fire gonga like twende sawa

neemanelson