SEHEMU YA PILI: TAZAMA BINADAMU WA AJABU WANAOKULA KILA AINA YA NYAMA/WADUDU/COBRA ALITAKA KUNIUWA.

preview_player
Показать описание
Binadamu wa ajabu katika maisha yao wamezoea kula nyama ambazo kwa kawaida huwezi kula, Watu hawa wanapatikana katika eneo la Amboni Mkoa wa Tanga na ndipo mahali walipo jenga kambi zao na kufanya shughuli zao za kila siku.
baada ya mahojiano wameelezea namna gani wanavyo andaa hizo nyama na kuzitumia kama kitoweo.
"Hakuna nyama ambazo hatutumii, labda binadamu"

#SEHEMUYAPILI
#RIPOTIZAKITAA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ebana niaje WAP hiyo nakupata stend kumi na moja

salimakida