MAGOLI YOTE: SIMBA SC 6 - 0 VITAL'O

preview_player
Показать описание
Kikosi cha Simba SC kimeanza msimu mpya kwa kishindo kikuu kikiigaragaza Vital'o ya Burundi kwa bao 6-0 huku wachezaji wapya waliosajiliwa waking'ara.

Mabao ya Simba SC yakiwekwa kimiani na Bernard Morrison, kepteni John Bocco, Clatous Chama, Ibrahim Ajib akafunga la nne bao la tano likafungwa na Cris Mugalu na Charles Ilamfya akahitimisha karamu.

Tazama mabao yote hapa.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Aliyemsikia Mpenja anasema ndevu zile wenyewe simba wanasema ni za sunna siyo za karantini tena. Gonga like.

adammusa
Автор

Makofi mengi Sana kwa baraka mbenja nainjoy Sana utangazaji wake na naomba aendelee kuwepo sanaaa✔️🦁🦁💪🏼💪🏼

amedeuslyimo
Автор

Aliyesikia baraka mpenja anasema nyumba ya ulisi imeuzwa gonga like yako hapa

bashirmkambala
Автор

🤣🤣 Ndevu za suna siyo za karantin tena Kama Umesikia gonga like.

aibanijr
Автор

Wapo wapi utopolo
Mwana simba 🦁 gonga like kwa Simba yako 🦁🦁

thomasjunior
Автор

Kam unaamin 🐒🐒fc hiz Magol Trh 18 zinawahus gonga like na coment this is simba next levo

khadijakhadija-vetv
Автор

Duh mazee Mimi mkenya halisi lakini ukweli itabaki ukweli regarding Simba msimbazi wako na timu yakikweli na vile morisson amejiunga nao basi seoson hino watu watalia...naomba likes wenzangu

mehdyahmed
Автор

Yanga tunalakujifunza hapa, hasa kwenye mikataba, tumuache Morrison afanye yake..
ALL THE BEST BM3.

rich-lrtq
Автор

Kama unaamini gongowazi hizi zinamuhusu msimu huu gonga likes za kutosha

rasulbila
Автор

Kipa kimemponza jezi kama umenielewa like kama zote

lazaromgaya
Автор

Kama umesikia wamekunwa kipele gonga like 😁😁😁😁😁shikamoo kaka Mpenja

agnesvintan
Автор

Now this is a real international team, yajayo yanafurahisha

AllyMchume
Автор

Kauli ya Morrison (Simba ni chuo cha mpira hapa Tanzania)

emmanuelmkeba
Автор

Gonga like kama unachek hailait za simba mnyamaa

yusufapewe
Автор

Kama unaamin kilichomponza gorikipa ni jezi ya utopolo gonga like kwa furaha

fatumachagudadui
Автор

Timu ya kimataifa
Matokeo ya kimataifa
Wachezaji wa kimataifa
Mashabiki wa kimataifa

Na boss wa kimataifa

abdulkillya
Автор

Kwa Simba hii ...Dawa za magonjwa ya moyo zitauzwa Sana upande uleeee ...Jaman tusitaftiane kesi kwenye next level

goodlucklinus
Автор

Simba wachezaji wake sio selfish that’s one thing second thing wako na quick vision and good finishing passes

fahadabdallah
Автор

Hahahahaaa!!, ni naniii kasikia doko, doko bao kama mbeleee weka like tuende sawaa hapo mzee wa jiji

omarysalum
Автор

Simba Sana kama bado unaiangalia hii gonga like twende sawa

jeremiahromward