Magoli | Simba 3-0 Tabora United | NBC Premier League 18/08/2024

preview_player
Показать описание
Simba SC imeanza na chuma tatu ikiitandika Tabora United 3-0 kwenye Dimba la KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam ikiwa ni mechi yake ya kwanza ya msimu wa #NBCPremierLeague

Magoli yametoka kwa Che Malone Fondoh 14', Valentino Mashaka 69', Awesu Awesu 90'+2
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Asanteni sana kutupa fraha wanasimba tunaomba muenderezo mzuri

lucychaula
Автор

Furaha yangu nikutoa pongezi hongera wachezaji Hongera Mashabiki Hongera Viongozi Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kushinda mechi ya Kwanza tumeanza naMungu tutamaliza na Mungu Simba nguvu ❤❤❤❤❤❤🎉

JosephLamau-yqlx
Автор

msimu wa ubaya ubwela umeanza hongera sana mnyama

hassanrashid
Автор

Hii ndo maana halisi ya ubaya ubwela❤❤❤

mohammedkidody
Автор

Safi nimefurahi sana mukwala pia atakaa swa Wala tusihofu

neemaraphael
Автор

Damu chanaga Damu ya moto simba ya moto inakuja

iqquoth
Автор

K I Aziz kwa Mitoko siyo mchezo Hatulii kambini

uynxbjr
Автор

Ni swala la mda tu mechi Tano Simba watakuwa wazuri sana timu zitaiogopa simba

johnkubebeka
Автор

❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA

salimmalaka
Автор

Ndotunaanza mutatukimbia mwaka uu tunawapima ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

TamashaWakilongo-nmpd