Magoli | Simba SC 4-1 Geita Gold | NBC Premier League 21/05/2024

preview_player
Показать описание
Simba SC imepata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Geita Gold FC, mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa leo Azam Complex, Chamazi.

Geita walitangulia kwa goli la Geofrey Julius dakika ya 11, kabla ya Simba kusawazisha dakika ya 45 kwa penati ya Saidi Ntibazonkiza ambaye pia alifunga la pili dakika ya 72 kwa free-kick.

Aliyekamilisha mabao mawili ya mwisho ni Ladaki Chasambi dakika ya 86 na 90.....

Haya hapa magoli...
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kama Kuna anae angalia gongs like tujuwane Kwa mda huu

AllyAbdalla-dw
Автор

Tunao ikubari simba yetu kwa hari na mari tulike bhas hapa

gustaphkadio
Автор

Pira safi, , chasambi ni hataree 🔥, , , muzamiru mnaona anachokifanya ni xavi + iniesta

azizimuhibu
Автор

Huyu Chasambi aiseee mpeni nafasi kijana 🔛🔥🔛🔥🔛🔥🔛🔥🔛🔥

absm
Автор

Bora nione umuuu mana mwanzo nilikua tumbo juu nitakuj niwafie mm❤❤

allidehunter
Автор

Saido aweanapata mechi za kupumzika kabla ya big match Ili afanye maajabu. Mie namkubali saana

bbclondonulimwenguwasoka
Автор

Uyo ndo chasambi mwenyewe 💪💪 simba nguvu moja 🇹🇿

SamweliJaphali
Автор

Saido akikalibia kumaliza mkataba huwa anakiwasha sana😂

lucaskanyamaha
Автор

Up Simba from NYC! One of my favorite teams in Africa! Hope I can see a game someday.

SuperJNG
Автор

Maskini saidoo hadi uruma anayoyafanya hayaonekani wanamsakama sana na ndo mana kawafunga midomo wakome kumuandama

ZaniaMohammed
Автор

Geita sio mbovu msemaji wake ndio mbovu sana mdomoni nandio alieiponza sababu hana heshima akawaulize akamuulize msemaji wa Azam au wa horoya, jweneng Galax ukitaka kiki kupitia Simba utaumbuka Simba sio paka

jamalmanishi
Автор

Left footer Chasambi ni suala la muda utakuwa unaanza kila game...

punchlinetz
Автор

Nimengojea hii highlight mpk nikataka nilale😂😂😂

AlexPius-sg
Автор

MACHO YAO HAYAONI KAMA NINAVYOONA MIMI HAYA MAGOLI YOTE YAMEFUNGWA KWA MIPANGO SIO KAMA YULE MSEMAJI WAO ALIVYOSEMA BUTUA BUTUA ISHALLA BADO KIDOGO TU TAWI LAO LITAANGUKA ❤❤❤❤❤❤

AmurJecha
Автор

Mbona camera zenu mda mwingine sio safi

allysamjo
Автор

Mechi ya jana wangeshinda magoli zaidi kufidia magepnya magoli na azam

ajoseph
Автор

Ila benchika malipo ni hapa hapa duniani😂

newdreams
Автор

IF YOU ARE HERE IN 2090, , , I WERE HERE IN 2024

joelandekile
Автор

Mbona mna upload bila sauti siku hizi shida nini

mgetaofficial