JEAN-CLAUDE VAN DAMME: Utamsikitikia! DAWA ZA KULEVYA zilivyokaribia KUMUUA na KUMFILISI kabisa

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mungu nisaidie mm na anaesoma huu ujumbe tusiangukie kwa madawa ya kulevya🙏

monladen
Автор

Staring wako wengi bora, sema ni miongoni wale bora wakila mda. GOAT

mrdocta
Автор

Maisha yangu ninayopitia na nikiangaliaga mashujaa kama hawa wanayopotia mpaka kufanikiwa najifarijigi sana kuendelea kupambana🙏

veryboyplatnumz
Автор

Hard target naipenda sana hadi leo. (Chance Boudreau)

strong
Автор

SimuliziNaSauti nakupa hongera sana kwa mpangilio mzuri sana wa haya makala nakupongeza umeitendea haki sana taaluma yako keep it up brother

madaiincubationcenter
Автор

Marafiki Bwana Class of 88/90 Au Wanangu Wa 88 HandsUp🙌🏾❤️

bish_daddiyao
Автор

Mim Binafsi Ndio Actor Wangu Bora Dunian wa Mda wote
Kwangu Ndio Actor Wangu wa Kwanza Alie Nivutia Kupenda Movie za Mapigano Mwaka 2000 Toka hpo Adi leo Hiii Ndio Ninaee Mpenda na sichoki Kuangalia movie zake Mpka Sasa iv ninavyo ongea

sanoureyaliwadoakaroyo
Автор

Mpaka leo Donnie Yen martial artist mwenye kujua styles nyingi za mapigano (Wrestling, kick box, tai chi, muai tai, Kung Fu, ....)

strong
Автор

Nilikuwa nampenda saana nilikuwa nikiangalia picha zake mpaka nikawa nilienda kwenye majumba ya sinema kama sijakuta picha yake sijaenjoy

zainabramadhani
Автор

Duh madawa ni hatari sana, hata mtoto mdogo anamjua huyu vandame

mwanatz
Автор

@simulizinasauti, Prince Harry ametowa Kitabu pls hebu cheki lntevew yake

marymayeye
Автор

Sky ile makala Ya Kanumba haikutendewa haki inabidi uichukuwe tena utupe vizuri

sonnyr
Автор

Nyota wengi hawana financial controll wanapofika kwenye peak (kilele cha mafanikio) sijui nani huwa anawashawishi waingie huko

jrlamar
Автор

Ningependa siku moja Fred utusimulie kuhusu GEORGE STINNEY: MTOTO ALIYEPEWA KESI YA MAUAJI, AKANYONGWA hadi KUFA PASIPOKUWA NA KOSA

buchosatv
Автор

Haya maisha sio ya kuchezeachezea kujiharibia maisha ukipata nafasi utumie vizuri Huyu jamaa miaka ya 1990 tukiwa wadogo tuko darasa la pili shule msingi tumeangalia filamu zake sana double impact Leo hiii kawa mzeee hivi kazeeka sisi tuliokuwa wadogo leo tumekuwa vijana na tuna Familia watoto

fredrickmatiku
Автор

Sorry kaka bundara naomba nijuze juu yahuo ugonjwa wa by pora ndo ugonjwa gani huo??

saidizuberiissa
Автор

Mm naitwa Mohamed natokea nchi ya Oman napenda kusikiliza nakala 360 vipindi vyote vizuri kabisa big brother Fred

mohamedoman
Автор

Namkumbuka na movie yake ya blood sport 1

titusnailstz
Автор

Kma unayakubali mateke yake gonga laik

SalumJuma-izgj