Kifahamu KISIWA CHA NYOKA: Kinatisha! Kifo Nje Nje, Hutakiwi kukisogelea kabisa, Nyoka watakumaliza

preview_player
Показать описание
Makala 360 inakupeleka moja kwa moja na kukujuza mambo ya kutisha na kuogopesha ambayo yanapatikana ndani ya misitu ya Kisiwa cha Nyoka (Snake Island) cha huko nchini Brazil.

Ni moja ya kisiwa kinachotisha na kuogopwa zaidi ulimwenguni, huruhusiwi kukitembelea, kukikaribia inamaanisha hutaweza kamwe kutoa miguu yako salama. Tega sikio lako ili kujua mauza uza na balaa la kisiwa hiki ambacho ni tishio kwa watu na wageni wanaotamani kukitembelea
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

mimi wa kwanza leo nipeni likees zangu, hongera saana sns,

nestorassani
Автор

Napenda sana izi story uwe unatupa zaid aya mastor

hassanhamady
Автор

Jamani…sijai pata likes ata kumi tangu nizaliwe 🇰🇪

agakibelden
Автор

Mkuu nakuomba utuletee makala ya Leonardo Davinci TAFADHALI

mastaplan
Автор

Ahsante kwa talifa brother gud job brother 🇹🇿 👏 👍

idrisashelimo
Автор

Nimeonjoi sana aisee napia inaogopesha sana

Emedroadtocanada
Автор

Napenda sana hii segment najifunza sana

trendz_
Автор

Kaka naomba unipe nakala kama hii niruke nayo skumoja naweza sana kufanya kama hivi

pound_tz
Автор

Simulizi nzurii Soon na Mm nitaanza Kuachia zangu Youtube 📍

dizzonofficial
Автор

Sasa hao maharamia ndio nini sasa ukute huyo nyoka wa dhahabu ndio dhahabu yenyewe

mariamramadhani
Автор

Unajua sana kuliko hata jamal hana sauti ya mvuto

wisperfect
Автор

Ilha da queimada grande (soma: il'ya da kemada grande) @Sky

strong
Автор

Me kama ningekuwa basi ningeenda kwa helicopter nikamwaga mafuta ndani ya hicho kisiwa then nikakitia moto halaf nion nan atabaki

amehassanrehanirehani
Автор

Zingatia sauti kwanza ya huyu mwamba pia fuatilia mpangilio wa maneno yake njoo ndani kwenye uchambuzi wake ulio jaaa ubunifu hakika bro wewe nomba moja

danielsanga
Автор

Ninavyowajua binadamu hawaamua tu wakiamua wavaa hata gwanda za chuma, hakuna hazina yoyote kuna mengine yamejificha tu na serikali inajua
Mbona wanafunzi wanaenda kwa uangalizi

mwanajumaomahundumla
Автор

Huyu jamaaa anatisha kwa similizi kali na za kuvutia

ibrahimsamson
Автор

Naona binadam hawajaamuwa tu kuingiya huko kwa binadam alivyo na ukaidi na mbinu naamini wakiqmuwa wataingiya na kufanya yao na kutoka salama

roudhamahmoud
Автор

nitafanya trip ya kwenda kisiwani hapo nikawachukue hawa golden viper's venom nije niwapandikize hapa Tanzania

Timothymchomi
Автор

Mim ningeenda namadumu ya petroly ningemwaga kisiwa kizima ningetiamoto angeniona nani

Yo_tune-tbsn
Автор

Dah mm nitaenda nikapige nao picha tuuu

kibasamohamedi