Yaliyofichwa kuhusu JIM CAVIEZEL Aliyeigiza kama YESU, aliteseka na kupigwa RADI ya AJABU kidogo AFE

preview_player
Показать описание
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nakupenda kwautafutaji wako kaka nipeni like zenu tafadhali, 🇨🇩🤐

OsamaLaden-bvcp
Автор

Proud catholic 🙏🙏🙏🙏 huyu Mungu alijifunua kwake na alitumika ili imani za wakristu ziimarike 🙏🙏

imanimwakinga
Автор

Yesuuuu baba wa Amani kama unampenda yesu❤ nipe like

rhodamwita
Автор

Uko powa Sana ktk kuelemisha dunia safi sanaa

MirajiIssa-slli
Автор

Namshukuru Mungu sasa ivi watu tungekuwa wapumbavu

luizerndayanse
Автор

Hhhuuumm story nzuri big up 👌👌wasirudi kuzibandika majumbani kwao picha zake zichomwe

evelynemugeni
Автор

Kitu chochote kinachohusu ufalme wa Mungu kina vita kali ndo maana alipata misukosuko sababu shetani sikuzote anapigana kweli ya Kristo isijulikane inaharibu ufalme wake wa giza kwhy kabla ya kuigiza anahitaji maombi asichukulie tu kirahsi kama anaigiza filamu zingine

lindamollel
Автор

Jimmy alijitahidi sana kwenye filamu hii

leonardchoma
Автор

Inawezekana Mungu alijua filamu hiyo itapotosha umma mkubwa

imanibakili
Автор

Angekufa tuu maana marekani wame penda kushawishi dunia wao ni kila kituuu

kings
Автор

Shetan ahkutaka itoke mañana anajua tutajua tu! Ukweli kuhusu Yesu ndiomana alimpiga vta🙏

zionshedaffa
Автор

Ndugu mtangazaji nashukur Sana kwa story zako sichoki kukufuatilia. Ila fanya siku utuletee story ya YUDA ESKARIOT maisha yake baada ya kumsariti yesu

officialmaasai
Автор

Safi kaka wewe ni The verteller umeiva bro

kemmyboy
Автор

Inaonekana kunakitu Mungu akupendezechwa, Alijifananishwa na YESUS nimakosa 😢😢😢😢😢

michelinemapendo
Автор

Jamani sitaki kuchanganyikiwa nampenda yesu

luizerndayanse
Автор

Amehubiri neno kwa matendo kiasi kikubwa kuliko hata wahubiri wengine na wengi wameelewa habari za Yesu kupitia hii filamu

maryemanuel
Автор

Nakukubali sana sky toka upo rádio free

amisindondi
Автор

Mungu akubariki Sana kaka maana haya yote usemayo ni kweli

DamasJoseph-llqx
Автор

Yesu akiwa alisema yote yamekwisha nae akajipeleka kuhiga

georray
Автор

Aisee, kanisa la THE ROCK ni langu hilo, lina matawi mengi sana hapa mjini San Diego. mwakani litafungua tawi nchini Congo na Baadae Tanzania na nchi nyingine za Africa.

YaNoah-Congo-Bongo