Chat GPT! Majabu ya computation inayokuja kunyang'anya watu kazi zao!

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Big Up sana SNS...ndio vitu vya kusililiza hivi, sio mambo ya kina Baba Levo 😄 ...vijana mjiongeze jamani...Safi sana. You are really impressive 👏🏽

joycekisamo
Автор

Mimi nimekuwa naitumia tokea Disemba. Ni nzuri katika kuboresha na kukupa picha nzuri ya wazo unalolifanyia kazi kwa mtu ambaye ni creative.

jimboulaya
Автор

Pamoja na uzuri wake, ila disadvantage yake kubwa kwa upande wangu ni kutengeneza watu wasio na uwezo wa kufikiria na kufanya tafiti ndani ya vitabu...

faridithomas
Автор

Nimeipa mkeka ini betie imekataa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kwan aijui kubet

allenmosha
Автор

Dj Yuko dunia ya mbele hapa sio levo zake watu Kama Hawa tuwakumbatie

msangodiesel
Автор

Nimeitumia iko vizuri sana. Hata kiswahili iliwasiliana nami.

The_Countdown-
Автор

Bro ni me test inapiga kazi balaa, mambo ni fire 🔥🔥🔥🔥🔥

khatibuilhan
Автор

Yaani hii CHAT GPT ndio talk of the world...kila mahali, kila radio huku ulaya na America na hata maofisini mazungumzo ni haya.
Mashuleni na vyuoni; wakufunzi na waalimu wanahaha, sababu hawawezi ku prove plagiarism kwa wanaotumia Chat GPT kwenye masomo!
Yaani vyuo na consultancy duniani wako hatarini ku crush. Yaani hata lawyers watapoteza kazi!!

joycekisamo
Автор

Ni nzuri saana lkn wajitahidi tuache kabsa kusearch kwenye GOOGLE.. ndo itaiua vzr google

teacherd
Автор

Wamezuia kufanya academic research kwa mfano phd thesis na point nikuondoa udanganyifu wa kielimu pradgalism

fahadfaraj
Автор

Off coz google search inachosha sana bora io technology mpya du

innocentmtondo
Автор

Mipango ya jamaa wanamaliza kushika vizuri kukamata akili zetu tunafeatilia Nini ni hatari sana

msangodiesel
Автор

Zipo AI zinazoweza ku-identify kazi zilizofanywa na AI nyingine, still kuna watu wako rigid watahitaji vitu authentic. Elon Musk aliquit kwa sababu ya conflict of interest kwenye Open AI,

chaliiyako
Автор

*Premium for life time ya GPT ni 140, 000 TZS😅💰*

wazambulitv
Автор

Dunia ipo mwishoni wakati huu hawaongelei ishu ya kwenda Mars bali vita ya Ukraine naamini Mungu ni zaidi ya binadamu sasa wanarumbana mwishowe itakuwa vita ya dunia hizi kelele zooote zitapotea uchumi utaaaanza

braystuskibassa
Автор

Mimi natumia chartGPT yaani swala la coding nafanya karibu kila cku kutumia chartGPT wakati cina Ujuzi wa Code 😂😂😂😂

Samworldnews
Автор

Tatizo ni nyakati na kizazi tu, , ndivyo ambavyo vimepelekea kupata watu weeengi kwa haraka kiasi icho, , , hata google wangeanzisha mda huu, , , ingepata watu wengi zaidi kwa mda mfupi

yussufritzy
Автор

Nimeidawnload leo na nimeuliza juu ya vita vya Uganda na Tanzania chanzo ilikuwa ni nini? Majibu yake yako kama tulivyosoma History.

bishweko
Автор

Nasimama na Google ndio mkombozi wetu no way

ibrahimaziz
Автор

Though ukitumia kwa mara ya kwanza the next times inakwambia Iko loaded coz of so many users 😢 But it's so so good

miriamumbwilo