Ommy Dimpoz apigilia msumari kauli ya Diamond ya kuwa tajiri namba moja Duniani na kuweka picha hizi

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Diamond platnumz always set his goals high.This is why forever he will be number one Artist in entire East Africa and one of the Best in entire Africa.

chizashungu
Автор

Watanzania uwelevu mdogo ajasema Tajiri Nampa moja kasema ndoto yake

rogerabdallah
Автор

Lazima u dream big siku zote hata kama hutafika

AdamMohamed-up
Автор

Hakuna kinashindikan I day mond utakuwa tajir no 1 Dunian

aminatanzanya
Автор

Kuna RONALDO alafu Kuna MESSI hao sio matajiri DUNIAni, , lakini diamond anataka 😃😃😃

JosephAlakonya
Автор

Anza kuwa tajiri namba moja Tanzania kwanza

EdwinJambo
Автор

Diamond alisema ana ndoto ya kuja kuwa....i have a dream mbona mnakuw hamwelew

Officialjidaa-sncs
Автор

Hakuna kisichowezekana, special kwamtu mwenye kujituma

FannySubira
Автор

NB: RIP Ruge alisema ukipambana kuwa juwa, usipoifikia basi utafikia mwezi ama nyota

NatashaChebukati
Автор

Lakini sishangai jamaa saiv anatafuta kiki ya kutrend mjini tushamzoea huyu kasema ivo ili azingumziwe yy

BirdyBoy-sjpr
Автор

Hajawa MESSI na RONALDO wanaolipwa pesa nyingi aje awe mwambino 😂😂😂 labda awe tajiri wa tandale

BirdyBoy-sjpr
Автор

Aaah wapi tajir Dunia bakharesa hamnusi😅

HunchoQuavo-romw
Автор

Diamond mauti kayasahau ndio mana yuasema ipo siku moja

HassanRamadhanPashua