Tour ya MBOSSO nchini Marekani yaahirishwa, taarifa rasmi yatolewa

preview_player
Показать описание
#Mbosso #USA
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Haa mubaya Sana tulikuwa tunashubiri kwahamu tu Mahone mbosso uku marekani .

georgempweto
Автор

Mbosso na U S.A ni wapi na wapi Sasa, ebu kueni serious, ana Ngoma gani ya kuimbia wamarekani huyo mtoto sana huyo dogo....

lilianjoy
Автор

Naona kama strategy za wcb zimebadilisha mipango baada ya wasanii kulipishwa wanapotoka na watu kulaumu wcb kuwa wanawaonea wasanii kwa kipato.
Zamani daimond alikua akipiga shows pamoja na wasanii wake, sasa kila mtu ajitegemee mwenyewe, na hapo ndipo akina zuchu wanakosa kuingiza watu kwenye shows kama USA. Na yanaweza kumkuta mbosso pia. Hawa wakubwa Africa, sio Western countries. Zuchu kaanza juzi tu, ikisha anakwenda USA peke yake, its so wrong. Its like setting them for failure. Na hatuwezi kulaumu lebel maana wasanii wakusha toboa wanasahau support zote walizopata mpaka wakafika hapo. Hapo inakua ni business. Sasa mwendo mpya ndo totally business unfortunately 😕

sistersade
Автор

yani agikuwa jeshi konde gang wagisema anakulupoka, sasa mboso wasafi?

constanciomarcos
Автор

Wasafi machoko tu marekani ya kigoma labda aende kwa bwana ake dubai

ibrashani