R kelly kumlipa aliyemtumikisha kingono Milioni 700 za matibabu ya magonjwa ya ngono na saikolojia

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ayo magonjwa ya ngono miaka yote iyo hajaponaga ad leo?? Au kwa7bu yuko jela ndo mnaanza kusema anaumwa magonjwa alioambukizwa na rkelly

peterlaurent
Автор

akilipa tuu, utaona kuna vijidada vitashinikizwa kuwa sema alikunaniiii
nitakusimamia kesi, ukipata tunagawana...
wanga wabayaa...aliimba Dulla makabila

vincentmushi
Автор

Wanamfilisi huyu jamaa, R.Kelly Ana shida zake lakini Hizi mbinu zinafanyika saana kwa watu weusi

ndukulusudikucho_
Автор

Kazi anayo na mziiki haulipi sasa hivi marekani kwa wasaniii wakongwe akon kasema yaani kama 20 percent tu R. Kelly sasa hivi from rich to poor

fredrickmatiku
Автор

Wanamkomoa tu, ila wajue mungu anatuona.

laymashabani
Автор

R.Kelly anapitia wahati mgumu sna MUNGU amuepushie njama hii mbaya wanayomfanyia huyu Mfalme wa RNB. Kwani hukumu ya kifungo wanaona haitoshi bado wanahitaji na kile alicho kipambania kukipata kwa jasho wanakihitaji nacho daaaah!#DUNIA haina Huruma.

bonifacemfaume
Автор

utakuta huyo demu anayetaka kulipwa hiyo milioni 700 za matibabu ya ngono, ana msela wake au boyfriend wake anamla kama kawaida na yuko fiti hana ugonjwa ata kidogo

franktangeki
Автор

Ndio mujfunze nyie wengne muache kujiendekeza 🤔🤔🤔

fatumajumanne
Автор

Kama alivyosema wanataka ku mfilisi kweli leo naamini

rjcharity
Автор

Wanafki sana hao madada yaan baba ungenilala mie haki nisingesema ingekuwa langu lako lako langu,

winfridapeter
Автор

Sasa hizo pesa za kuwalipa atatoa wapi wakati jamaa yuko jela na amefirisika tatizo alikuwa na mke huyo mke ndiyo amefanya yote hayo ukioa mke mweusi halafu umwache utajuta

happynelson