Rooney amuwashia moto Mbappe, amuita hana adabu kwa kumdharau Messi kisa hiki

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

This is because you gave him great power when he signed the new contract

ayoubpapiy
Автор

Mess na ranaldo msitaf muachie vijana nao zam yao

albassammusaalbassam
Автор

Mbape ni mkubwa na yupo kwenye Dunia yake kwaiyo yeye Waza atulie kabisa hakuwahi kupata Levo ya Mbape kwaiyo asiwe na Wivu

amsiabbas
Автор

Tamaa angetaka uwo ufalme ungkuja madrid walau pale angelewana na benzema

chamomedia
Автор

Tatizo Ni mkataba alio pewa uyo kijana mkataba Ni ovyo sana

charlesmapunda
Автор

Ukileta dharau uendelei kukua Bali utashukua cz majivuno sio bora

emanuelmaro
Автор

Muda wake nae wamuache alinge si walimfata wenyewe

azzahdora
Автор

Mtu pia amwambie messi na Rooney kwamba mbappe alipokua na miaka 20 alikua na medali ya world cup

richardmweri
Автор

PSG wameyataka haya wacha wayamalize wenyewe😂😂

swalerashid
Автор

Huyo mbape atulie tu hampati messi kwa lolote hata messi afe Leo ubora wake hawezi kuufikia

carinamatt
Автор

mkongwe mkongwe tu nidhamu ndio kila kitu ivo mbape abadilike

adamzakaria
Автор

Mbappe ni mtoto mdogo na hana lolote kwa messi

ilynpayne
Автор

Sasa mafahari wa3 unazani wakikaa pamoja nini kinatokea

davidmarik
Автор

Racism tu hakuna lolote Mijitu Mizima hamuoni ata Aibu kupambana na bwa mdogo

zanzibarboyzanzibar
Автор

Mbappe mfalume wa psg hao wengne watulie kagoma kuja kwenye l club la dunia, Wacha waendelee kurumbana

auleusmuyamba
Автор

when Messi and Neymar win the most important cup in the world mbappe will respect them I would not give the world cup to mbappe for all the trophies and golden balls of messi and Neymar

domidominique
Автор

I don care, Mbappe he is the One figure and very rare. Sijawah kusikia ana dharau, nadhan n cause mkubwa hakosei.

worldhappiness