KITAMBI KINAVUNJA NDOA? MAMA TERRY - ''FUNIKA kwa TABASAMU MLAJI AWE na HAMU'' | KATIKATI ya KOKO

preview_player
Показать описание
KITAMBI KINAVUNJA NDOA? MAMA TERRY - ''FUNIKA kwa TABASAMU MLAJI AWE na HAMU'' | KATIKATI ya KOKO

KWENYE SEHEMU ya 2 ya KATIKATI ya KOKO ya Global TV mgeni ni mtangazaji mkongwe wa vipindi vya redio na TV Mama Terry ambaye ameeleza mengi juu ya maisha ya ndoa na mahusiano huku akiweka wazi sababu ya ndoa nyingi kuvunjika...

#KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO #KATIKATIYAKOKO

⚫️

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nmemgoogle uyu mama, mana naulizwa kila pahala unamjua mama terry

Nyerere-fqls
Автор

Mama tery apewe kipindi chake wangapi wanakubaliana na mimi??

mr.yahzadochuno
Автор

Hiyo njimbo sauti iko juu inakera kwa maoni yangu tu maneno kuntu

fatmakhanii
Автор

Vijana wendzangu piteni hapo mpate chakula cha ubongo

johnsonkatana
Автор

kweli mwanaume akiwa na tumbo kuna vity huwa vinakosekna na kuwa kero

heyumi