ULIVYO KWA ULACHO na Mama Terry: Kitunguu ni tiba, kifua, kurudisha nywele, nguvu za kiume & vingine

preview_player
Показать описание
Sasa unaweza kujiunga na SnS VIP Family ili kupata mambo mengi exclusive kwaajili yako tu. Bonyeza link hii ili kujiunga na kufahamu zaidi kuhusiana na SnS VIP Family membership
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ahsante kwa somo la leo sikujuwa kama kitunguu kinakazi kubwa sana wow !

candidadilemile
Автор

Asante sana Mama wa Taifa kweli umetupambania uzembe ubaki tu kwetu

abushaddad
Автор

Shikamoo mom mama terry, Barikiwa sana kwa shauri zako za kiafya, Mungu akulinde uzidi kutupa elimu na ushauri lishe na tiba, ahsante sana ma

kashindisimukindje
Автор

Aahsante sanaaaa nime pata waida🥰 na ume niacha hoi pia ulipo apia eti Waliwahi Bilahi 😀

sidrasidra
Автор

Rafiki yangu anakata vitunguu anawela frijini sijui hii ikoje, ingesikiliza hii.

MsAggie
Автор

Natumia onion juice and oil kwenye nywele asikwambie mtu nywele zinaota vizuri, zinajaa na miwasho inaondoka

virendavictoria
Автор

Huyu mama ni shetani alipigwa marufuku mambo yake anaanza hivi kisha analeta ushetani wake

hajisalimmhina