ULIVYO KWA ULACHO na Mama Terry: Hutaamini faida hizi nyingi unazoweza kupata kwa kula MAPAPAI

preview_player
Показать описание
Papai lina faida nyingi sana kwenye mwili wa binadamu. Huenda utakuwa umeshazisikia chache, lakini kwenye episode hii ya #UlivyoKwaUlacho Mama Terry anakujua nyingi zaidi zitakazokushangaza
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hongera sana mama Terry Kwa ELIMU unayotupa mmi Majid MDOGO wake Azama Nairobi anaomba namba yako

majidmwakadeb
Автор

Mama ubarikiwe mama mpendwa kwa kutumbukia watanzania maana tuna matatizo sana wanadamu na dawa za kemikali zinatuhalibu ubarikiwe kwa wosia mzito sana na nifaida asante🙏

JulianaSanga-hf
Автор

Asante mama terry kwa somo nzuri kwa kunipa akiba ya maisha yangu.

LidyaHalahala
Автор

Asante nitafutie vyakula au matunda vitakavyotibu upunguzaji watumbo kitambi nakuongeza tako au kalio

SesiliaLaga
Автор

Wow nice Asante kwa mafuzo mama yetu Mungu hakubari more

mashiassenga
Автор

Asante kwa mafunzo mazuri mama Terry. Nilitazama hili kwa pendo TV.. very powerful ❤

jacklinetarey
Автор

Mama Terry uko vizuri Sana.Nakupenda nakuheshimu. Tunajifunza mengi Sana toka kwako tunavyopaswa kurudi eden sasa .Tunasukia uyoga pia ni mzuri Kwa afya. Tunaomba utenge siku ya kutupatia faida za uyoga mwilini basi mama tunaomba Sana, maana upon mwingi masokoni.

odettengulu
Автор

Asante mama tutalifaniya kazi inshallah

rahmakassim
Автор

Yaani nakupenda sanaà unatuelimisha sanaaa❤❤❤🎉🎉🎉

juliethmziray
Автор

Mama ubarikiwe kwa mafundisho yako mazuri

agathamvula
Автор

Ubarikiwe sana Mama Terry kutuokoa na matatizo ya afya.

ElizabethKaseza
Автор

Asante mama vip mbegu za papai ni dawa ya kuzuia mimba

NeemaGeorge-xi
Автор

Mungu akubariki mama kwa kutupa elimu yenye faiad

zainulahmed
Автор

Asante Sana Mama nikweli kabisa, Mimi hapa ni Fan wakula mboga Za grini+ namatunda aina ya hii papai, unaezungumuza kwa Sasa. Nimependa Sana hii Video yakutufundisha .

billian
Автор

THANK U SOO MUCH FOR SHARING🙏 GOD BLESS U ALWAYS! AMEEN🤲👍💖👌"

bas
Автор

Hongra kwa elimu unaokoa maisha ya watu usichoke:

venancemsima
Автор

Kipindi changu pendwa asanteni sana wahusika wote.

ablatuny