๐‰๐€๐‡๐€๐™๐ˆ ๐Œ๐Ž๐ƒ๐„๐‘๐ ๐“๐€๐€๐‘๐€๐ Mwanahawa Ali Wema Hazina (Official Audio) produced by Mzee Yusuph

preview_player
ะŸะพะบะฐะทะฐั‚ัŒ ะพะฟะธัะฐะฝะธะต
#MzeeYusuph #JahaziModernTaarab #SlideDigital

(C) Slide Digital
Mzee Yusuph and Jahazi Modern Taarabu / Safina Madern Taarab Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Channel Administered by Slide Digital
ะ ะตะบะพะผะตะฝะดะฐั†ะธะธ ะฟะพ ั‚ะตะผะต
ะšะพะผะผะตะฝั‚ะฐั€ะธะธ
ะะฒั‚ะพั€

2025 hii bado natembea nayo nipeni like kama tupo wote kwahii nyimbo

KhamisaRamadhan-cc
ะะฒั‚ะพั€

Maneno matamu halaf yakakutana na sauti ya mwimbaji๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ

ZaynabB-rlfx
ะะฒั‚ะพั€

Yaani kila siku nausililiza huu wimbo binadamu unaweza kumfanyia wema akakulipa ubaya kweli wema HAUZAI WEMA wema huzaa uovu

ashachitemo
ะะฒั‚ะพั€

HIVI KWANN MZEE USIIMBE NYIMBO ZOTE ZA ZAMANI UKAFANYIA SHOW NYIMBO ZOTE ZA KALE UTATISHA SANA MANA TUNAKUMBUKA MBALI SANA๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

powervideos
ะะฒั‚ะพั€

Finally nimeipata nyimbo yangu pendwa....Ahsante sanaaa

aishakalama
ะะฒั‚ะพั€

Nausikiliza tena leo tar 25/01/2023 dedicate to my late mom ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ namkumbuka

abuumatengo
ะะฒั‚ะพั€

Huu wimbo mtamu jamani hauniishagi hamu~๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ~2023...๐Ÿ™๐Ÿ™โ˜‘๏ธโ˜‘๏ธ

achouraachoura
ะะฒั‚ะพั€

Hatareee Sanaa huu wimbo huyu mama cjui Yuko wapi huwaga namkubali sanaaaa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

iddriserommary
ะะฒั‚ะพั€

My all time taarab song from Legend Mwanahawa..Melod nzur mzee Yusuph

VonsoAlmeida
ะะฒั‚ะพั€

During those days at Fort Jesus, Coast car park, Kenol club Mombasa โค

mwakasaid
ะะฒั‚ะพั€

Thabit Abdul katika ubora wake wa kupiga kinanda...kinanda kimepigwa haswaa...

jrsalehe