Mwanahawa Ally Aiacha Taarabu Rasmi Aimba Wimbo huu kwa Uchungu 'Kila Mja na Riziki Zake!

preview_player
Показать описание
🔔 Usisahau KUSUBSCRIBE kwa habari zote mpya na za kusisimua!
👍 Bonyeza LIKE kama umefurahia video hii!
💬 Toa maoni yako kuhusu tukio hili kwenye sehemu ya maoni hapa chini.
📢 Shiriki video hii na marafiki zako ili waweze kupata habari hizi moto moto!

Asante kwa kutazama na endelea kufuatilia channel yetu kwa habari na matukio ya kusisimua zaidi!

#mwanahawaally #mwanahawaali #kilamjanarizikizake #mwanahawaallysongs
.........................................................................
Contact Us: 0673 715 207
..........................................................................
...........................................................................
...........................................................................

Keep Watching Bongopods Media 📺

Copyrights ©2024 Bongopods Media.All Rights Reserved.

#bongopods
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mwenyez.Mungu akufanyie wepesi Kwa kila jambo

BimkubwaMohamed
Автор

Mwenyezi mungu amfanyie wepesi asije akageuka kama mzee yusufu jitahid kuomba tomba kwa alla Mwenyezi mungu mwingi wakusamehe

shadyahamad
Автор

Allah akuhifadhi bi mkubwa MwanaHawa, , kubwa ni kufanya Ibada mola atujaalie mwisho mwema

ZuhuraAthuman-ui
Автор

Heri ya Snura amemjua Mola wake akiwa na nguvu zake. Mwanahawa yeye Hadi hawezi kutembea. Na bado aksimba ' one for the road' ! Subhanallah!

yahyayunus
Автор

Mungu akupe kila la kheir na pia akupe mwisho mwema.msihukumu watu hali yakuwa bado mnaishi wapenzi kwan.mwenyewe mungu ameshajitukuza Alaisa Allah biahkami llhakimi ww unaemlan kumbe ww afirit zaid yke tuwe wastarabu na wenye kujuwa nn tunakifanya

thaniyahmad
Автор

Anaimba ya mwisho mwisho nilijua anamrudia mungu kumbe kastaafu kwasababu ya uzee

shuwehaharuna
Автор

Allah anasamehe mama yangu saivi kila siku usikose kuleta isthifar alau mara mia nakupenda mama allah akupe mwisho mwema

makameothman
Автор

Allah ndio muweza wa yote tuzidi kumuombea Dua tu

SuleimanMachano-tz
Автор

Mungu amuongoe tubu Kwa mola wko umrudie mungu

Shafi-sdom
Автор

Mwenyezimungu akufanyiye sahla mashallah

OmanSohar-dz
Автор

Yani kuna baadhi ya watu wanamuhukumu mtu kama wao washapewa ujumbe kwamba flani fil jannah ya ALLAH jifikiri wwe ndo umuhukumu mwenzio

Sakinaamani-ot
Автор

Kila mtu na maisha yake achane mambo ya umbea yenu mmnayajuwa muachene mama wa mwenzen, , , hasbiyallah nyiee kwan mliambiwa mtizame

HawaTalib-gd
Автор

nyimbo zina uzito wa tungo sana aah asante Mama nyimbo hizi zimetufunza maan hii ni fasihi pevu sana

lonnmutta
Автор

Mashallah icho ndo kipaji alicho pewa na Allah acha atumie ata mungu alisema jisaidie nayey atusaidia unaweza kulud kwa Allah akaimba kama anajiweza

Naeema-wy
Автор

Hata snura pia kaomba toba kwa mola wake lwahiyo msimjaji allah anajua na pia kajirudi bado ananguvu zake

MaryamKhawar-hj
Автор

MAMA SAMIA TUNAKUOMBA MPELEKE MWANAHAWA HIJJA IN SHAA ALLAH

anisawahyi
Автор

Sioni kibaya mpaka mnamuhukum kajistir vizuri nyimbo ina ujumbe usikute wewe unayemuhikum roho yako mbaya hata kusaidia ndugu huwezi

HusnaSalum-pq
Автор

Bi mwanahawa mnyazimungu akutiliewepisi tutakukumbuka sana kwa uhodari wakoo wa kuimba sauti yako iko unique huna mpizani

mayaeidi
Автор

Musiyo yajua nyimbo alizo imba zote ziko chini ya bendii yy alikuwa muajiriwa 2 hana mamlaka ya kusema zisipigwe tutakukumbuka sana bibi

omarfauz
Автор

Mimi nyimbo za huyu mama husikiliza na kuliya sababu sina ujumbe ndani yake mola amsimamiye 😢😢

OmanSohar-dz