Mwanamke Khulka_ Mwanahawa Ali

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Ahsante Sana mama yangu, nakupenda Sana mola akutunze wewe ni hazina kwangu, 2024.

SaadaNgingite
Автор

Hongera sana mwanahawa mungu akupe afya Bora akuepushe namitihani

worldwidelyrics
Автор

I love this song...Thank you Tanzania ❤2024

MathTutori
Автор

Sijui uliimbwa lini huu wimbo lakini ninachojua Ni ninaupenda Sana.... 🔥🔥🔥🔥. Taarab kenyans tupo🇰🇪🇰🇪🇰🇪

freddyfredricks
Автор

Woow, sijui niseme nini, ila nabarikiwa sana mwanahawa, nababika vilivyo⚘💞

mercymwende
Автор

“I know this is tanzania song but its congolese who “VIEW AND REVIEW” it the most”…ONE AFRICA 🇨🇩❤️

osnesialonda
Автор

Taarab haizeeki tam saana❤❤Ila waliomo humo ndo wazee kwasasa

NasraChimomy
Автор

Yani huyu bi mwana hawa alii ninakubali sana kazizake mungu ambariki nikama imetokaleotuu

daudichoghoghwe
Автор

Best song hat zikija mpy hazimzid uyo mama

asnathrobert-jbyz
Автор

Nakumbuka enzi nko form two miaka 2009 tunakaa chimbo katika bar flan hv tunalipia kila nyimbo Tsh100 basi hii nyimbo tulikua tunarudia ata mara5 asee

twahachanjale
Автор

Mwanamke hulka Hii taarabu niko nayo kwenye flash hdi leo hii😂

chekakidogo
Автор

God bless you ) mwahawa napenda nyimbo zako zote ❤❤❤❤❤❤

DiyanaEliasi
Автор

Napenda xana hiyo nyimbo ya mwanamke hulka

ZenaNgamba-sf
Автор

Hili sebene la hii taarab ni zaidi ya dance zote

fanuelmasatu
Автор

kila nnapo angalia na kusikiliza nyimbo za bi mwanahawa huwa nampa hongrra kwa mashairi yake yananivutia na maana yamafunzo zaidi.

thureyamwinyi
Автор

tunamalizia mwaka na bonge la song...❤❤

thomaskwesiga
Автор

Nakumbuka manzese 207 weachaatu tupo bar darajani pab sasahini St Monica

raymondjulius
Автор

Katulia mwenyewe Hongera B, mwana hawa

athanaskipeto
Автор

Hakika binadamu anazeeka lakini kipaji hakizeeki mashallah

HamisiIssa-mk