Mwanahawa Ali- Mwenye Wivu Ajinyonge

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Mwenye wivu ajinyonge pamoja taarabu zote mwanamama Mwanahawa Ally kwa kweli zimeimbwa kwa umahiri mkubwa.anasithili pongezi. kubwa mno.

maalimkheri
Автор

Dadangu huyoooo, mola akuhifadhi damkubwa

hassanali
Автор

Jamani hii nyimbo naipenda hadi nakuwa chizi

janendaki
Автор

Mpenzi liko fiti...Halishekisheki wala halivunjiki! Hasidi mpooo!

Jongaroxl
Автор

Wenye wivu kazi kwenu mtakufa vinywa wazi huyu wangu sio wenu acha kabisa unanikosha wajna wa Aunty yangu

aloyceasenga
Автор

Ivi mama serikali imekufanyia nn kwa kaz mzuri km hii itakua hawajakutendea haki km wamekutelekeza nakukubali mamangu we acha tu

karimujuma
Автор

Ngoma anavyoicheza anmpepeta kiujuzu mhh hii kali kinoma, mkewangueeee nakuzimia

mrtezura
Автор

Nyimbo zanikumbusha2003 mambo ya pwani miss saana

azzaalmaamry
Автор

Mhh nampnda sana swetyyyy mhh nyoko ioo

mrtezura
Автор

Bure mnajipumbaza, kwangu mwenyewe karidhi

georgeoparawafula
Автор

Kunamuda namiss sana hizi taarab za zamani.

cuteliciacutelicia
Автор

Mwenye wivu ajinyonge nampenda sweery ❤

fatumagilo
Автор

hayo ndio maadhi ya taarab. zimekaa sawa. salam zao madingi....

maulidmustafa
Автор

Forever Mimi na yeye ee mpoooo hapo!!!!

pilishabani
Автор

tena kabisa nazidi kunawiri Hahahaha temjinjonge tu

ashajuma