Joh Makini - Nyota feat. Damian Soul (Lyric Video)

preview_player
Показать описание
#JohMakini #Nyota #DamianSoul #Slidedigital
(C) Slide Digital

Joh Makini Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Joh Makini

Follow Joh Makini on:

Joh Makini is a top Tanzania Bongo Hiphop artist.His witty ryhmes and wordplay have made him into a household name in Tanzania and Africa,He is a renowned rapper known for his skillful use of metaphors, wordplay, and freestyle abilities.

Born as John Simon Mseke in Arusha, Tanzania on August 27th, 1980, he began his career as part of the River Camp group and released his first hit, "Chochote Popote," in 2006. The following year, he released his debut album titled "Zamu Yangu."

He has collaborated with many international artists, including the late AKA, Davido from Nigeria, and Navio. His talent has earned him the Best Hip-Hop Artist award at the Tanzania Music Awards in 2012.

Get a taste of Joh Makini's unparalleled lyrical prowess now !

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Chama cha Wasoma comments weka Like ako #View ya kwanza
#Johmakini

titokashindyetz
Автор

nasema ni buree mkisema hii nyimbo ni mbaya nakukubali kiongizi

farihiayusuph
Автор

Ni bure mkiombea nyota chini zianguke, kipaji unazaliwa nacho, big up bro

elisasemkiwa
Автор

Unstoppable hatari sana joh umeonyesha uwezo kwamba unaweza kuimba aina yoyote ya mziki good one Joh mwamba wa kasikazin

gaburica
Автор

Saluti kwa Kazi nzuri joh
Like this comment me from China but I like it

Mbeyaconscious
Автор

Damian soul n mtu hatar sana joh makin nae ameumiza sana hii beat 🔥

eliudmbange
Автор

Gonga like kwa mwamba wa kaskazini Joh #✔✔✔✔✔✔✔✔✔

manmborrow
Автор

Joh makini upo vizuri kazi nzuri big up always keep good music alive asee

collinscosmas
Автор

Aweeoo....Aweeoo..

*Chorus (Joh Makini)*
Eeh Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke eeh, (Aweeoo)
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke eeh (Aweeoo)
Na wala siwaooni, ooni eh eeh (Aweeoo)
Na wala siwaooni, ooni eh eeh,
(Ma Money is ma money men heeh) Aweeo

*(Bridge)*
Laaala, lala lala wait til I get my money,
Kama daladala nakusanya jala
Usiniuzie meno, what’s funny?

*Verse 1 (Joh Makini)*
Mi ni mpango wa baba angu aliye juu,
Nami nna mipango mmoja wapo ni huu,
Nazibebea bango kuzipeleka juu,
Mama ake King na King watabasamu tu,
Vile King nazipiga bling-bling flow zingatia usafi,
Watoto wa pale kitaa siwalishi makapi,
Mimi ndio mkondo wenyewe mikondo sifati,
Angalizo isiwe shidaa huh,
Siangalii saa kujua mudaa,
Najua kila muda ni saa ya kuwa-murder,
Sisi Sio wale wasee wageuza mada,
Sikimbizi nyie wasee nakimbiza chaada, huh

*(Bridge)*
Laaala, lala lala wait til I get my money,
Kama daladala nakusanya jala
Usiniuzie meno, what’s funny?

*Chorus (Joh Makini)*
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke, eeh (Aweeoo)
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke, eeh (Aweeoo)
Na wala siwaoonii, ooni, eh eeh (Aweeoo)
Na wala siwaooni, ooni, eh eeh (Aweeoo)

*Verse 2 (Damian Soul)*
Uh laa la la wait til I get my money,
Uzidi kupata burudani,
hapo kati kule nje hata ndani,
Uh laa la la wait til I get my money yoh,
Uzidi kupata burudani,
hapo kati kule nje hata ndani,
Napepeta pumba kujifunza,
Pasipo kujifunza ni kuwa funza,
Kuthamini chako na kutunza,
Amini bora uzima mengine yatafutwa,
Kama maji kujaa, na maji kukupwa,
Bora uzima hakuna tapatapa,
Ni mola pekee anaeinjinia hapa,
Bora uzima vingine vyatafutwa,
Kama maji kujaa na maji kukupwa,
Bora uzima hakuna pupapupa,
Ni mola pekee anaeinjinia hapa,

*Chorus (Joh Makini)*

*Verse 3 (Joh Makini)*
_(I don’t see no body)_
Sichungi ulimi sababu sizungumzii ya watu,
Nachunga biashara maana binadamu sio watu,
Siziogopi hasara maana hasara hunifunza vitu,
Hamkai patakatifu Joh siwavulii viatu,
Ni mziki tu vipi mlaze makaburini watu,
Baraka za Baba angu zipo hadharani,
Na maushetani yenu vichochoroni,

*(Bridge)*
Laaala, laaala, lala lala wait til I get my money,
Kama daladala nakusanya jala
Usiniuzie meno, what’s funny?

*(Chorus)*
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke eeh (Aweeoo)
Nasema ni bure mkiombea nyota chini zianguke eeh (Aweeoo)
Na wala siwaoni, ooni, eh eeh (Aweeoo)
Na wala siwaoni, ooni, eh eeh (Aweeoo)

Laaala, laaala, lala, lala ...*2

watotowamungubyfreconicide
Автор

Jo nakuaminia sana broo kaz Kali sana Damian shikamo baba

kajjd
Автор

Mwamba wa kzkzni #Aweeoo_hbd mwamba makini

brunoringo
Автор

We braza huwa ni fundi basi tu. Hongera mwamba kwa kazi nzuri siku zote nimekuwa shabiki yako. Happy born day king

JeronimoSimon