JohMakini ft Fundi Samweli - Nikumbatie

preview_player
Показать описание
#JohMakini #Nikumbatie #FundiSamweli #Slidedigital
(C) Slide Digital

Joh Makini Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Written & Performed by Joh Makini

Follow Joh Makini on:

Joh Makini is a top Tanzania Bongo Hiphop artist.His witty ryhmes and wordplay have made him into a household name in Tanzania and Africa,He is a renowned rapper known for his skillful use of metaphors, wordplay, and freestyle abilities.

Born as John Simon Mseke in Arusha, Tanzania on August 27th, 1980, he began his career as part of the River Camp group and released his first hit, "Chochote Popote," in 2006. The following year, he released his debut album titled "Zamu Yangu."

He has collaborated with many international artists, including the late AKA, Davido from Nigeria, and Navio. His talent has earned him the Best Hip-Hop Artist award at the Tanzania Music Awards in 2012.

Get a taste of Joh Makini's unparalleled lyrical prowess now !

Channel Administered by Slide Digital
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

2024 am still here for this master piece ❤ @JohMakini🌟

dianamsemo
Автор

Ni February 2025 nimerudi hapa nitarudi tena 2026 inshallah

mussaharun
Автор

Mimi huu wimbo mara ya kwanza nliusikiaa sehem flan Tanga wanauza chips, , nkaendaa kuulza wimbo n wanani ilii nidownload lakn wakawa hawamjui, , , nlporud chuo Dodoma kama bahat nkaskiaa kunaa room wanapgaa hii nymboo, , ikabd nigongee hodii ilii wanambiee n Nan mwenyee hii nyimboo ilii niwe nayoo, , hapo ndioo nlmjuaaa na nymboo nkawa nayoo ilikuaa ckuu poaa saanaa na kwa bahat nzur hat maraafk zng ambao walkuaa hawaujui huu wimboo walipouskiaa wakaupendaa wotee na wakawa wanawatumiaa madem zaooo, , , ,

filbertivo
Автор

Nataka umreplace mama yangu , mwanamke wa ndoto zangu

GregoryMaresi
Автор

I'm ready to fly joh makini ft fundi samweli, nyimbo kubwa sanaaaa hii dah, l am crazy about this song 😂😂😂❤❤❤

KulwaThabit
Автор

wenye ngoma kali hawapati hizo like nyingi sasa music kama huu ni mzuri sana

petermapunda
Автор

Joh makini,
Mwamba wa kaskazini
Mtoto wa Simon
Nimekuita mara 3🙏
Hii ngoja fanya mpango wa video kwa kweli, ifanyie haki
Ngoma inaishi, mziki mzuri 🎶👍

calvinelia
Автор

Sio mia kwa mia ila umenitosha vigezo, , , 2019 who else?

nelsonmapamba
Автор

Wimbo kama dawa siachi kuitumia pale ninapoumwa

shedrackdaudi
Автор

Naomba huu wimbo uje uchezwe kwenye harusi yangu siku naoa DJ aje kuwa makin kucheza huu wimbo.

bonirapha
Автор

The best hip hop love song of all time period

mudrickbarton
Автор

Makini Joh kwa hizi Flows ni SOMO #2022

victorchris
Автор

Brother Joh Makini, kama jina lako uko makini, ; kwa nini bablai hutoi vitu kama hivi siku hizi? Kama mafanikio naamini ushafanikiwa kwa maisha ya kawaida i.e hela ya basic needs...house kali etc...
Basi kaka tufurahishe mashabiki wako kwa vitu mfano wa hivi...tunakuelewa kinomaaa...

boeihongoa
Автор

My all time favorite song from Joh Makini…

aliyumuhammed
Автор

Joh sikuwahi kukubali kazi yako yoyote.Samahani huo ndio ukweli.Ila kwa hii kazi pokea salute kubwa This is one of best song kwenye Tanzania Music industry ..Big up urself Joh an samweli

edondaki
Автор

#Legendary anayeishi #KING A-town we proud to have u 2023🔥🔥

yusuphhamis
Автор

Mwanamke wandoto zangu ulee familiar yangu who?? 2021

blacknesaya
Автор

John saimon ur de best hip hop all de time

ireneassenga-dmcm
Автор

Huu wimbo haukupata heshima unao stahili kwa kipindi kile

douglasndeki
Автор

One of my favourite songs from John makini

zerochanneltanzania