Tupendane - (Official Video ) Kilimanjaro Band Njenje

preview_player
Показать описание

Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

KAMA BADO UNAANGALIA HUU WIMBO 2024 JUA KUA UMEZEEKA SASA 😂

bizzybrown_tz
Автор

2024 apa nausikiliza on 🔥 🔥 🔥 🔥 san hii song labla kuna mtu mwingine ata usikiliza 2040 nikiw nipo au sipo

GasperDanielkulaya-jfct
Автор

Who is with me enjoying this beautiful 😍❤️ song?

thomjunior
Автор

Nyimbo tamu ya mapenzi hadi raha❤❤❤❤. 17/4/2024

queenandchill
Автор

Old is gold wimbo bora wa mapenzi kwa vizazi vingi vijavyo, mashairi yenye adabu na staha, sio uchafu wa zama hizi

shedrackagawamo
Автор

Nikisikia huu wimbo nahisi kulia lia2 mwaka 2000 nahic ndio ulitoka nilikuwa mdogo na niliupenda sana leo 2023 bado nausikiliza R I P Mama yangu nimekukumbuka sana

restitutamhoma
Автор

Kuna nyimbo bongo zinatakiwa ziwekwe makumbusho ya Taifa na moja wapo Ni hii nashangaa waziri wa utamaduni anafanya nini ofisini😌😌😌

ngomenyikani
Автор

Dah, kitambo sana, watching this 6th August 2024

ivanminja
Автор

Tuliokuja kumwona nyota waziri, , Bi Nkasi wa kwenye tamthilia ya Bunji, , likes tafathari

oswaldnyamaishwa
Автор

2023 January 21 Baba Umeacha Wimbo Umenikumbusha mbali Sana Adi 2004 Baba Ulikua Unanichukua Kutembea Na mwanao Sehemu Mbali Mbali za furaha... Leo hii Father Haupo...! Miss u Dad😢😢

matukiomtaani
Автор

Ingekuwa. Wimbo ina waah, inama, cjui chura jmn koment zingekuwa million tatu like milion mbili lkn nyimbo kama hiz hakunaga hamasa cjui kwnn

zuwenajuma
Автор

11 October 2023. Nimerudi kuusikiiza huu wimbo baada ya mambo yanayonikuta, najikuta nakumbuka mambo mengi ya zamani 😢

fnqmkof
Автор

Director aliipatia sana hii vid, waimbaji wanaendana na location, shelter... Alaf wapo na Tabasam muda wote wa nyimbo... 100%%%% old is gold! ❤❤❤❤

MOASLLY
Автор

Huyu mwimbaji ndo Bi Nkasi filamu ya Bunji, kawa mama, hongera mama

camilapaul
Автор

Unajua ukiwa mmbaya katika usichana wako bas hata ukizeeka unakua mmbaya na mwisho wa siku unaitwa mchawi kumbe Wala sio mchawi nikutokana na ubaya wako Sasa kama uyo bint nkas cheki alivyo msicha na Sasa hivi Mzee ndio kazid kua mzuri❤❤❤❤❤❤❤❤

starbusinesslikondo
Автор

2024 old is gold❤❤❤wahenga ndo tunaelewa utam Wa huu wimbo

zuwenaMalesa
Автор

Ina lillah waina ilaihi rajiun Mwenyezi Mungu awasamehe maiti wetu wote. Alikwambie mtu ndoa raha sana upate mtu mupendane. Natamani ndoa vibaya mno ila kumpata wa Kweli ni shida

lexygeisar
Автор

Watoto wa 80 na 90 hatuwezi kusahau hii classic.

arnoldnicholaus
Автор

Quality, Quantity and Effective all in one song, jamani wimbo kama una mwezi tu vile kumbe kitambo. Old is gold 2022 August the 18th… ntarudi hapa tena na tena

Bkbarbershop
Автор

Hii nyimbo unaicheza popote ❤❤❤ hata kwa wakwe

fljyzjv