RAIS SAMIA AFANYA MAKUBWA WILAYA YA SIHA - MIRADI YA MAENDELEO INAZIDI KUSTAWI

preview_player
Показать описание
RAIS SAMIA AFANYA MAKUBWA WILAYA YA SIHA - MIRADI YA MAENDELEO INAZIDI KUSTAWI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kutekeleza ahadi zake za kuleta maendeleo nchini, na wilaya ya Siha imekuwa miongoni mwa walionufaika zaidi na juhudi zake. Kwa kuzingatia mahitaji ya wananchi, serikali imewekeza kwa kiasi kikubwa katika miradi ya maendeleo ambayo imeleta mabadiliko makubwa katika sekta mbalimbali.

Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa shule za msingi na sekondari katika kila kata, zahanati na ujenzi wa tanki la maji lenye ujazo wa Lita 500,000 litakalosambaza maji kwa wananchi

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!

We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!

#entertainment #news #music #funny
Рекомендации по теме