RAIS SAMIA AWATOLEA UVIVU WAMACHINGA/AWAPA MAAGIZO WAKUU WA MIKOA, WILAYA

preview_player
Показать описание
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( +255 767 400402),
🔘WhatsApp ( +255 692 318213)
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nyoosha maelezo mama etu usiwape mzigo wakuu wa mikoa wawapange wapi?kweli tunawaziba wenye maduka tupangeni sehem ambayo tusiwazibe wenye maduka mama

kennyrogers
Автор

Ivi kama yamekushinda siujiuzulu tu uroho wamadalaka kazi uwezi

johnmike
Автор

Huyu Mama vipi machinga halipi hahaha kweli bola elimu.

faharimahenge
Автор

Leo Mmachinga anakataliwa mhh jpm lala pema peponi

colestmakoloo
Автор

Hamna kupanga hapo waondeke tu barabara zimeziba barabara mmejenga za wamachinga au za magari mbona hamnyoshi maneno watafutieni maeneo nchi kubwa hii

gaspermatee
Автор

Nyanya, vitunguu, karoti, mapapai, miwa, maembe, matikiti mpaka kwenye barabara za lami, hiyo pia si salama Gari laweza feli breki.

edwinalexander
Автор

Wewe mama mbona unaongea uongo machinga halipi Kodi aaa huu uongo

amirikoshuma
Автор

Nabado yubibi duh magufuri mtamkumbuka sana

priscapeter
Автор

Kiukwel kauli iliyotolewa najins ilivopokelewa nitofaut tatizo sio kufanya Biashara wamachinga bali nikuwekwa vzr kwenye maeneo waliopo nasio kuondolewa km baadhi yawengi wanavyopenda litokee.

sadamgulam
Автор

Uyo mama anayeuza hapo nyanya kila siku anatuma matenga yanyanya kwa kutumia miamala futa kauli iyo mama usitunyanyapae machinga bana

zawadimasula
Автор

Hata wakiambiwa hawasikii hao machinga mpaka mda mwengine nguvu ya ziada itumike mana wanajiona wapo juu ya sheria njiani wanapanga vitu vyao

yahyahamad
Автор

Huwezi fungua Mama ntilie na kufungua vibada kokote utakapo.fuata sheria

asaniyusufu
Автор

We mama vipi machinga alipi Kodi machinga ndio wanalipa Kodi Tena kubwa kwakila siku Mimi natuma kila siku matunda kwakutumia miamala Tena kwasiku Makato ya semanini elfu kwa mwezi nalipa Kodi ya gapi we mama futa kauli yako unaata aibu muogope mungu

zawadimasula