BREAKING: RAIS SAMIA ATEUA MKEKA wa WAKUU WAPYA wa WILAYA, SHAKA APELEKWA KILOSA, WENGINE WAHAMISHWA

preview_player
Показать описание
BREAKING: RAIS SAMIA ATEUA MKEKA wa WAKUU WAPYA wa WILAYA, SHAKA APELEKWA KILOSA, WENGINE WAHAMISHWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, hii leo Januari 25, 2023 ameteua wakuu wapya wa Wilaya wapatao 37, wengine 48 kuhamishwa vituo vya kazi na wengine 55 kusalia kwenye vituo vyao.

Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, wanawake ni 40 na wanaume ni 100 kama ifuatavyo;
Baadhi ya wakuu hao wapya wa Wilaya ni pamoja na Shaka Hamdu Shaka Wilaya ya Kilosa, Mtangazaji Grace Kingalame Wilaya Nyang’wale, Godlucky Milinga Wilaya ya Liwale, Mboni Mhita Wilaya ya Kahama na Halima Bulembo Wilaya ya Kigamboni.

Wengine ni waliobaki kwenye ukuu wa wilaya lakini wamehamisha kwenye wilaya zao ambao ni pamoja na Jokate Mwegelo, Godwin Gondwe, Nikki wa Pili na wengine wengineo.
Endelea kufuatilia Global TV kupata mkeka wote.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

kila la kheri ktk majukumu, Mungu awaongoze ktk utumishi wenu

gosbertireneus
Автор

Rais wangu ongera sana.Bado Fagio la chuma

aminaomary
Автор

Shaka anateuliwahe Bara!!! Kwani Sisi tunaweza kuteuliwa Zanzibar???

adolphinakaiza
Автор

Hadi wa Malinyi kapigwa chini, Not fair.

domicianalphonce