#BREAKING: RAIS SAMIA AWATUMBUA WATANO kwa MPIGO, YUMO DC MBARALI, WAKURUGENZI WATENDAJI...

preview_player
Показать описание
#BREAKING: RAIS SAMIA AWATUMBUA WATANO kwa MPIGO, YUMO DC MBARALI, WAKURUGENZI WATENDAJI...

Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, imewataja waliotenguliwa kuwa ni Reuben Ndiza Mfune, Mkuu wa Wilaya ya Mbarali na Msongela Palela, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma mkoani Mara.

Wengine waliotenguliwa ni Michael Matomora, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba, Singida, Linno Mwageni, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ushetu, Shinyanga na Sunday Ndori, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa, Njombe.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa utenguzi huo ulianza Januari 22, 2023.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)

⚫️ OUR PLAYLISTS:
Рекомендации по теме