Marioo feat Harmonize - Wangu (Track No.8)

preview_player
Показать описание
Music by Marioo featuring Harmonize performing "Wangu" {Track No.8 from the Album} The God Son. (c) 2024 exclusively licensed under Bad Nation Records Label.

Listen to Marioo on Digital Streaming:

Catch Up With Marioo on Social Media:

Catch Up with Harmonize on Social Media:

+For More Information Booking Marioo:

©2024 Bad Nation.All rights reserved.

#Marioo #Harmonize #Wangu
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Hawa ndio wasanii wawili ambao wakikutana wanaua sanaa 🔥

mashabikiwaharmonize
Автор

Oya bad ukifanya collabo na Harmonize ngoma zina kuwa kalisana ila fanya na Asley tena maana jamaa kichwa yule ni noma ❤❤❤❤

mansoursabri
Автор

Bombocla aaa alipoacha kukohoa kohoa amekuja na mtindo mpya wapi likes za tembo na marioo !?

Samwelybrandcomedy
Автор

Mungu katajwa tena humu kwenye verse ya harmonize ikiwa ni ngoma ya tatu Mungu kutajwa kwenye album hiii❤❤❤ ubarikiwe wew msoma comment

SwahiliAmbasador
Автор

Kali sana wanao mukubali harmo like zangu hapa

Christianbahati-gi
Автор

Hii ndo nyimbo namba 1 inayo kimbiza album nzima❤❤❤❤🎉 bad ft jeshi

MussaBanzi-yg
Автор

Konde gang F C wote tunaufany huu wimbo kuwa na namb za watazamaji wengi zaidi kweny album, weka like twende

NzeyimanaJunior
Автор

Konde boy, jeshi, tembo, Bahkresa, yaw yaw, Huyu ni hatari. Time to give Harmonize his flowers. Guy is versatile and can kill it in any collabo. Great work Marioo as well. Very good chemistry between these two. Sending love from Kenya.

afrihension
Автор

Huyu mshenzi asiwe anapewa verse, ni marufuku🔥🔥🔥🔥

mkgorilla
Автор

Bombo klaaaa ❤je unamkubali marioo & harmoniz mnioneshe upendo Weka liké hapo 🇨🇩 Big bakhresa let goo 😮😂

BigBakhresa
Автор

Am from Kenya, , , napenda hio song already is a bomboclat, , , mariooo we love your music with konde boy🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tuwapee likes akh they have made it again

GiftMuoki
Автор

Konde unajua sanaaa .. kama unamkubal konde nione like😊😊😊😊

haroonmwangamba
Автор

Jeshi ni Mmoja tu no one like Konde Boy number one 🙌🙌🙌🙌

Kthenation
Автор

Wanangu wa Konde gang tujuane hapa tumupe like marioo ame ua sanaa ❤

JEANS-TZ
Автор

The first from burundi 🇧🇮 mnipee likes zangu wazee😅

BIGSTONE
Автор

Harmonaize mcapakazi kbx katisha sn wanangu🎉🎉🎉🎉

movitsmart
Автор

Kwa Ngoma zote hii album ushilikiano WA harmonice .alikiba na aslay kweli mafundi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

rabutoofficial
Автор

Hapo pa nikupee, nikupeendee pameni kosha mpaka nahisi mapenzi hayana doa, this is much love from Kenya, wekeni sahihi watanzania ngoma ni kali wajameni ama namna gani wangwana🎉🎉❤❤

berryxmsanii
Автор

Kweliii konde oya wanangu wa gang gang twende kazi❤❤❤❤

KondeBoe-pz
Автор

Abbaa nakuita tena abah ubunifu umoja atari
Nimesikia vinananda vya love is weekend blik and lace

MnkondeJr