Ombi Langu

preview_player
Показать описание
Artist: Namsifu Mwita
Song: Ombi Langu
Dir: Morick Gibson
Kionambali Vision Pro
For Promo Only
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kristo azaliwe ndani yako siku ya leo, na baraka za mungu zikae ndani yako milele amina,

thadeimsoma
Автор

Kama umebarikiwa na wimbo huu weka like twende sawa good song

musasimba
Автор

AMEN
BARIKIWA sana
Ujumbe mzuri kila kitu kizuri wow

beatricemdoe
Автор

Nimeitafuta sana hii nyimbo amini usiamini hii nyimbo ina nikumbusha sana maisha yangu ya chuo nikiwa na utafuta wokovu na leo ni zaidi ya miaka 12 sasa na leo nimeipata sasa itanirudisha katika wokovu

elishangoma
Автор

Ama! kwa hakika Mungu anawhubiri wengi barikiwa sana ni ujumbe mzito sana nikumbuke Yesu unaporudi ...amen

eliasluwela
Автор

Uko vzr sana, , , , Mungu endelea kumtumia huyu mama

dianadavid
Автор

Mungu akubariki sana role model wangu❤

restangimba
Автор

Wimbo huu unanipa matumaini ya kuacha dhambi na kuingia peponi. Ewe Mungu unisaidie. Mungu akubariki mwimbaji.

eppiemodest
Автор

Hakika wimbo ni mzuri na umenibariki nimeona hadi machozi yakinitoka. Barikiwa sana

hauleluvanda
Автор

Oo Wajameni, Siku Utakaporudi Yesu, Ombi langu Unikumbuke Unaporudi, Amina, Namsifu

christinalukwaro
Автор

Nimebarikiwa Sana na wimbo huu Mungu azidi kukuinua uieneze injili kwa uimbaji

julianandaturu
Автор

Mungu akubaliki Mama kwa wimbo unagusa Moyo wangu sana

alitigana
Автор

kwa kweli ujumbe ni mzuri mnoo barikiea

naimankimaro
Автор

Mungu amekuchagua kuinjilisha kwa njia ya nyimbo hongera sana Dada yangu,

thadeimsoma
Автор

Amina akika nime barikiwa na huu wimbo Amina🙏🙏

NeemaPhilip-ticm
Автор

kazi ya kipekee, baraka ujaliziwe daima

jacobsang
Автор

Ahsante kwa kipaji. Sifa kwa Mwenye Enzi.

ochiengkepher
Автор

Mungu akubariki Sana kuomba, kufunga, kuimba, kupiga kinanda "niguse taji yako"

musakiboya
Автор

Naupenda xana huu wimbo barikiwa mama yangu

SophiaZabron-fw
Автор

Hebu na ww jiulize ibada nayo haukosi tena navyo viti vya mbele ukose sherehe ya mbingu

seckypanja