ALKA MBUMBA - UWEPO WAKO UWE NAMI (NIGHT OF EXODUS LIVE PERFORMANCE)

preview_player
Показать описание
UWEPO WAKO, by Alka Mbumba kutoka DRC Congo.
Ilifanyika kwenye ibada Mkesha wa kumaliza Mwaka 2021 na kuukaribisha 2022, katika kanisa la The Reality of Christ- Sinza Mori Dar es Salaam.#RocWorshipperz#AlkaMbumba#UwepoWapo
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Who's listening in April 2025, uwepo wako bwana uwe nasi

juliajepchumba
Автор

Hata usiponipa nilichokuomba Bwana wangu, uepo wako uwe nami nisikutende dhambi ee Mungu

emilymeoshi
Автор

Whose is here 2025 April nimeamka na huu wimbo

HamidAisha-xd
Автор

😢wale tunatamani Mungu kututendea mwaka huu 2025 tuseme Amen kwa Imani...Amen Amen Amen

sylviakhalechi
Автор

Hata hali ikiwa ngumu nisaidie nisiache njia zako, uwepo wako uwe nami bwana amen 🙏 🙏 🙏

anitacharles
Автор

Who's getting blessed with the song like me in 2024 november, , , Uwepo wako Bwana uwe nasi

josephmaake
Автор

Uwepo wako bwana uwe nami kila scheme nayo kanyaga na miguu yangu kwa jina la Yesu maana Peke yangu sitaweza

deborahmaelo
Автор

Hata usiponipa nilichokuomba...uwepo wako uwe nami

victoriawaiharo
Автор

wale tunabarikiwa tugonge like 2024 ikiisha Dec 04

sirmyuel
Автор

As I cross into the new year 2024..my Lord, Just like Moses, I refuse to go alone, may your presence be before me, around me and within me. Uwepo wako Bwana, uwe nami! Amen🙏

gracemuigai
Автор

I'm here 9.1. 2025 uwepo wako Yesu uwe nami

teddyramadhan
Автор

Thika high school for the blind.this has been your anthem during your kcse exam na mnapomaliza masomo yenu ya sekondari..mungu awaonekanie maishani yenu..uwepo wake mungu ukae nanyi🇰🇪🇰🇪

francismungai
Автор

Uwepo wako uwe na mimi . Nakuhitaji zaidi ya kile natamani zaidi katika maisha haya 😢😢

wangarekagiri
Автор

The way this song normally blesses my heart ❤️, only God knows, I'm in love with this song always, glory be to God

alicekojo
Автор

Asante Mungu kwa uwepo wako katika safari ya mwisho ya babangu...nliomba uwepo wako na Bwana ukashuka mwenyewe na ukatusaidia, tuliona kazi yako katika shugli yote pokea sifa zote na utukufu....

mariamfavouredmighulo
Автор

No one noticed the couple praying together in the video? So touching 🥹🥹🥹

furaharing
Автор

Got me at the right time, , 31st 2023 uwepo WA Mungu uwe nami huu mwaka wa 2024

SusySimiyu-dv
Автор

Here in July 3rd 2025, woke up to this song ringing in my mind, i must admit i need uwepo wako kwa maisha yangu, sometimes i feel like giving up

murugi-pw
Автор

Ombi langu baba yangu pekee yangu sitaweza I am passing through alot but your presence makes me strong this song is a blessing can any one please strengthen me I am down

IrineMuhonja-jwdn
Автор

Dear GOD i and many others here are here 2025 by ur grace listening to this song, thank you Jesus.

rachelwangui
visit shbcf.ru