Siri (8) za Kufanikiwa Kiuchumi Na Reginald Mengi

preview_player
Показать описание
Video hii ni muendelezo wa Video ya Jinsi ya Kuwa Tajiri Katika Nchi Maskini. Dr Reginald Mengii anaeleza ni kwa jinsi unaweza kufanikiwa katika mahali popote, huku akitoa mifano kutoka katika maisha yake binafsi.

Tufuatilie katika mitandao ya Kijamii
Twitter: @pesa360

Usisahau ku'like, ku'subscribe na kutuandikia ujumbe, maoni au ushauri wako katika ebeo la comment. Asante sana

#Kufanikiwa #Pesa360 #ReginaldMengi
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

asante sana ntaya beba maneno yako moyoni na ntayaimba na kuyakumbuka madini haya nikiamka na kabla ya kula, mungu akuweke mahari pema peponi amina

dstar
Автор

Ulivipga vita
Your legacy will live forever

mmuruericka
Автор

Alipambana Sana Tena Sana hakukata taa alikuwa unaloho yaku kaza alikuwa havunjiki moyo

ElikSalumon-xiou
Автор

Respect my father mengi
I believe that
I can I must I will
Rest in peace

amri
Автор

Siri ya kwanza ya utajiri ni kumuomba mungu tu kwa maana utajiri unatoka kwa mungu

AishwariaKourana
Автор

Let's leave person to talk English

Danielmwaura-bb
Автор

Poor translation strategy, stop the mixing up of words, could you let the main character finish first?

nyakasaganichangasi