filmov
tv
Wanamuziki Matajiri Zaidi Duniani 2024
Показать описание
Fahamu wanamuziki au wasanii 10 matajiri zaidi duniani mwaka 2024, Hawa ni wale wanamuziki wa kizazi cha zamani pamoja na kizazi kipya ni wanamuziki waliopata utajiri na umaarufu mkubwa kutokana na juhudi na kuwekeza katika muziki na biashara, utawafahamu wasanii hawa matajiri kutoka nchi mbalimbali wengi wakitoka Marekani, Uingereza nakadhalika. natumaini uta-enjoy orodha hii hivyo usisahau ku subscribe naa kuwasha kengele ili usipitwe na video zetu mpya.
ORODHA YA WANAMUZIKI MATAJIRI DUNIANI
00:00 - intro
00:21 - Kanye west
00:41 - Bono
01:12 - Beyonce
01:33 - Celine Dion
0152 - Herb Alpert
02:15 - P Diddy
02:36 - Taylor Swift
02:58 - Paul McCartney
03:19 - Rihanna
03:54 - Jay Z
Wanamuziki Matajiri Duniani
ORODHA YA WANAMUZIKI MATAJIRI DUNIANI
00:00 - intro
00:21 - Kanye west
00:41 - Bono
01:12 - Beyonce
01:33 - Celine Dion
0152 - Herb Alpert
02:15 - P Diddy
02:36 - Taylor Swift
02:58 - Paul McCartney
03:19 - Rihanna
03:54 - Jay Z
Wanamuziki Matajiri Duniani