TOP 10 WASANII MA HANDSOME BOY TANZANIA (2024)

preview_player
Показать описание
Wafahamu wasanii ma handsome boy zaidi tanzania 2024, Hawa ni wale wasanii mwenye mvuto zaidi bongo kutana na wasanii kama Nedy music, Baraka Da Prince, Dvoice, Jux, Jay melody, Kusah, Hemedy PHD, K2ga, Mr Blue, na PlatformTz, Sasa jiunge nasi kufahamu wasanii ma handsome na wenye mvuto zaidi tanzania!

ORODHA YA WASANII MA HANDSOME TANZANIA

00:00 - Intro
00:22 - K2ga
00:45 - Dvoice
01:10 - Jux
01:30 - Jay melody
01:50 - Baraka da prince
02:09 - Kusah
02:31 - Platform
02:51 - Mr blue
03:10 - Hemedy phd
03:34 - Nedy music 🎵🎶
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Kiukweli mm nakubali Jay melody team Jay melody best let's gether here🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

Zainabu-xnvd
Автор

Baraka De Prince mzuri sana
Ana weusi wa ngozi safi kabisa

wennybarny
Автор

Nyote hamujui Dvoice must be number 2 coz ni mhandy inocent eyes😍😍😍😍🥰🥰😘😘

salamaomar
Автор

number 1 Jey melody then Dvoice then Hemedy then Kusah then Platform🤩🤩

salamaomar
Автор

Neby music ana sitahir kushika namba moja

NathanKasim
Автор

nedy music ni official mucisian nan ya africa 🌍 na kama unamkubal like coment

Ibrahim_IBU-tz
Автор

Et wamemkumbuka D Voice wakamsahau Alikiba mmmhhhh🤣🤣🤣🤣

tuikezeezra
Автор

Mtangazaj umekosea namba moja ni jey melody wale wa jey melody nshawa comment ntia mm nipeni tu like mpite😂❤❤❤🎉

dadaamwazewe
Автор

Mpangilio haupo sawa....kuna baadhi ya wasanii hawakutakiwa kuwepo kabisa kwa orodha hiyoo....

JairossSebunga
Автор

Pia mimi makubali show ya



Jay melody
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

imujarolydia
Автор

Mi sikubaliani Devi wa. Huba, Hemed chande mmetudanganya😂😂😂😂😂 n wengn wengiii

sashaamoha
Автор

Ivi munakubali awo wote wakina mr bleu nauto tungine nani anae mzidi jux m❤ acheni ushamba

Zadig
Автор

Nedy nimemjua leo kupitia video yako ila nimcute Mashaallah

HAWAMAULIDI-zlxd
Автор

Bika boy master ndo noma hebu miangalie

BikaBoy
Автор

M mkinipa Platform au Nedy music naacha ujinga natulia kama maji🫣😀😀

lovenesreuben
Автор

Hapo kwenye D voice wangemuweka alikiba

RithaMichael
Автор

Hapo ni uhakika kbs❤❤❤🎉 ila mbn jey melody mme msahau

ZenaHassan-yz
Автор

Seriously kama wa handsome wa Tanzania Wana fanana ivi akuna kitu kbsa

CHIKUONLY
Автор

Mtangazaji umebugi hao ni warembo si Handsome

lovenessmallya
Автор

Kusah nafasi ya uzuri kaichukua bila wasiwasi namp 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉ya yake na ❤❤❤❤❤❤❤ zake

GrapesGrapes-ud