Jinsi ya kuacha tabia usiyoipenda.

preview_player
Показать описание
Рекомендации по теме
Комментарии
Автор

Nakukubali sana... Yani hatari mungu akuzidishie naakupe mwisho mwema

ShealifuVuai
Автор

We jamaa unafundisha vitu vikubwa Sana katika maisha ya binadamu ya kila siku ! Ukifuatilia huyu jamaa na kuyaishi yale anayofundisha lazima ufanikiwe na utakuwa mtu wa tofauti Sana

damianmakala
Автор

Wangapi tumeangalia tena mwaka 2023.🎉🎉🎉 Upewe maua Yako Mr. Nanauka.

twahasuleiman-lovl
Автор

Joel Nanauka Asante kaka Mafunzo yako yananisaidia sana ktk maisha yangu hususani ya kibiashara Allah akulipe Kheri kaka Amin Amin

williamandrea
Автор

Mr. joel tunajifunza mengi ahsante kwa kutuwezesha kuwa na utulivu mindset zetu. from zanzibar island

twahaally
Автор

Asante kwa mafundisho yako. Mungu awe mwalimu bora kwako ili akufunze mengi zaidi.

joshuankunda
Автор

asante Mungu akubariki umenijenga sana tangu niaze kukufuatilia

stephenondieki
Автор

🙏hili somo limenipa mwanzo mzuri wa mapambano juu ya tabia sugu inayonifanya nishindwe kuiacha na kuendelea kuwa muhanga kila siku.

frowinchirwa
Автор

U don't change the habit, u replace the habit"umegusa hapo

omarykajembe
Автор

Nashukuru mno kwa somo lako Mungu akubariki sana naamini nitabadilika sasa nitaanza hatua moja na Mimi kwa kuoitoa somo hili amen

rebbecamgana
Автор

I found myself following most of the video posted. A lot of heavy lessons. Congrats.

GEORGEOUMA
Автор

Asante saaana mwalimu, Mungu wa mbinguni akulinde

DiazPilipili
Автор

Naxhukuru xana umeniongezea maana nilikuwa nacha lakin inarudi, xx nimepata mubadala na xehem zinazo chochea au ktembelea xtafanya, Barikiwa xana Mkuu.

fedharmmark
Автор

Thanks kwa somo zur nimependa sana point ya mwisho...unapotaka kubadilika anza kwa hatua ndogo....hii ni kweli kabisa hata mm nilijaribu kutakakubadilika kwa hatua kubwa nikashindwa...but today l got good points...!!!🙏🙏

mickidadyplanet
Автор

Asante Sana Kaka Joel na mmi ngoja nitumie hizi kanuni nikifanikiwa nitakujulisha. #seeyouathetop

philipinashine
Автор

Iseee nimekupata vzur zaid may God bless u,

bennyjaahbj
Автор

Asante sana Mwalimu umekuwa msaada sana kwangu, Mungu akubariki sana

fabianmshai
Автор

Nitakuwa mchoyo wa fadhila km sitosema ahsante mwalim

salehalisaleh
Автор

Asante sana kaka JOEL NANAUKA nimejifunza mengi sana kutoka kwako mpaka naamua kukuita mwalimu Mimi naitwa Daniel Gabriel nilipata ajali iliyopelekea mwili mzima kupooza lakini na ndoto ya kua motivational speaker niweze kuwa inspire wenye ulemavu kama wangu au wanao pitia changamoto mbalimbali naomba nisaidie support yako mwalimu

danielgabriel
Автор

Asnte sana kaka ubarikiwe Sana Kwa mafundisho yako najua sijanunua bndo langu bure...kabis nimejifunz zaizldi na zaidi...na hapa naendelea kukagua nijfuze zaidi tena

joshuamollel